Cummins ni engine ya kimarekani ni engine inayotumika sana kwenye shughuli mbali mbali huko Marekani na kwingineko .Lakini Engine katika mabasi ya mwendokasi ni CUMMINS made in China,hatujui kama genuine au fake engine.
Engine nazo zina maintenance procedures, Planned Maintenance, Aina ya mafuta na oil kama ni compatible, usafi, ujuzi n.k