Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Daah, sijui kwanini umeingia katika kichwa changu na kuwaza sawasawa namimi.
 
Sidhan kama hili la kumuombea lingefanya kazi maana aliwakataza wanaomuombea lisu kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndan...ss kama yy alikuwa hataki wengine waombewe iweje yeye?hapo kinachotufikirisha ni kuugua kwake ila tuliaminishwa ni mzima na yupo WH anapiga kazi
 
Kauli"Watanzania tushikamane katika kipindi hiki kigumu" ilitolewa kabla hata hatujataarifiwa kifo chake.
 
Nakuuliza his last moment alikuwaje? Je alikuwa polepole na akajua hatapona au alikufa ghafla au alizinduka akalala tena je alijua kwamba tayari wamesha mui ncapacitate? Je alikufa anajiona au alikufajekufaje na death bed yake ilikuwaje any way simpendi kabisa kwasababu ya lisu na Azory na wengine wengi.
 
COVID 19 deniar....

Na ikamchukua kweli...


Nyie tengenezeni theories nyiiiingii lakini huo ndiyo ukweli...

Mlipuko wa kwanza alifanya vizuri sana kwenda kujificha Chato mpaka hali ilipopoa... Hapa credits zote apewe Kipilimba & Ummy kwa kusimamia profesionalism, walijua japo COVID 19 machoni mwa jamii wameikana haipo lakini ukweli ni kwamba ilikuwepo na kwa usalama wa Rais haikuwa salama kumuexpose...

Mlipuko ule wa March akawepo Diwani na Gwaji Girl kwenye taasisi nyeti, na wote ni wachumia tumbo. Watafanya lolote ilimradi kulinda vibarua vyao. Wakammislead mwamba, wakamruhusu afanye ziara kuanzia Chato kuja mikoa yote ya mashariki. Alipita Tabora, Singida, Morogoro. Alipofika Dar akaenda kuzindua Kijazi Interchange, akazindua Magufuli Bus Terminal, akazindua Soko la Kisutu. Baada ya hapo akarudi ndani na HAKUTOKA TENA mpaka kifo kilipomfika.

Mpaka hapo mtakuwa mmeshajua wa kubebeshwa mzigo ni nani. Unapochaguliwa kuwa Waziri ina maana unatakiwa kumshauri Rais ukweli daima, unatakiwa umshauri na kumpa ukweli Rais hata kama hatakubaliana na wewe, lakini utakuwa umeshatimiza wajibu wako. Yani always unatakiwa usimamie ukweli hata kama utatumbuliwa, maana kuongopa kwako kunaweza kuicost nchi na wananchi wote.

Ningekuwa Rais, mtu wa kwanza kutumbuliwa angekuwa huyu Gwaji Girl, viongozi aina hii ni HATARI KWA TAIFA kwani hawasimamii profesionalism bali wanaenda na upepo wa Rais anavyotaka na wao wanafuata, hata kama Rais yuko wrong wanaogopa kumpa correct informations kwa kuogopa kuonekana wanampinga, mwisho wa siku wanamuingiza chaka Rais.

NB: Kama kawaida juzi wametoa taarifa kwa umma kwamba mlipuko uliopo sasa ni mafua makali, hamna corona. Halafu likitokea la kutokea tunaanza kutafuta mchawi nani. Sisi hatuna shida, ila wakumbuke viongozi wengi huko juu ni wazee na wana magonjwa mengine sugu ambayo yakiungana na COVID 19 ni suala la muda tuu kukutoa roho, na haichukui round wataanza kudondoka very soon, hii yote inasababishwa na aina hii ya viongozi wanaojali matumbo yao zaidi. Sisi yetu macho na masikio.
 
He didn't love you too!
 
Ndo mkakati wenu Bahima Empire sio?

Unadhani ni rahisi sana kutengeneza ya Rwanda Genocide hapa Tanzania kirahisi ivyo?

Mtaendelea sana kutunga huo upuuzi wenu ila hamtafika popote!

Hakuna aliyeidharau corona na akabaki salama! Deportivo la corunia inapenda sana wakorofi wa wabishi, na magufuli na Nkurunziza ni wamojawapo.

Hizo nadharia zako rudi nazo kwenu Rwanda Bahima Empire wewe
 
Corona huwa haipendi dharau.

 
Kwa nini mtu uende msibani useme mimi sikumuua marehemu wakati haujaulizwa chochote juu ya marehemu? Halafu kwa nini ziara za kituo cha Mbezi ziwe mbili ndani ya muda mfupi yaani alifungua kile kituo na Rais wa Malawi na muda mfupi kurudi Dar akapangiwa kwenda police kuzindua majengo yao akaja Kuzindua Flyover ya Ubungo, akaja Mbezi kituo cha mabasi na kwa nini itokee hivo? Afya yake ilikuaje baada ya Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa China pale Chato? Deal za uwekezaji na offer walizokuja nazo wachina kule zilikua zenyewe? Kwa nini miradi ile aliyoikataa haraka imeanza upya, Kwa nini haraka engineer Kakoko atolewe Bandari lakini baadae bandari upigaji ghafla unaendelea? Tunajibiwa majibu mepesi mepesi kwa nini team yake ipigwe vita ya wazi kabisa tena ya roho mbaya na bila aibu watu waliostaafu na mtani wake kwa nini wanaanza kurudi kwenye mfumo haraka?
 
Umenena ukweli mtupu Mungu akubariki mmno
Nitaanza na Madilu ingawa Gent ulimrukia mchangiaji aliye jichanganya Dibalo
Huyu bwana Jiwe alijichanganya kumsamehe na kumuapishia sebuleni kule Chato afuatiliwe mienendo yake
Ndiye anambinu za ubambikiaji kesi za Ugaidi fuatilieni alicho Mfanyia Rwakatare
Mbinu hiyo hiyo ameiaplai kwa Mbowe na ukweli ni Tozo aliona Mbowe ameifafanua vizuri kuliko yeyote
Madilu kwa kuutaka urais 2015 yupo nyuma ya kupotezwa kwa Magu fulusutop
 
Poleni kwa wote mliohuzunika sana juu ya kifo cha Mpendwa wetu.

Hii inanikumbusha mamayangu alivyofariki mwanzoni ilinitesa sana na nikaamini kwamba kuna watu walimuua kwa sumu au walimloga lakini miaka ilivyoenda nikaja kujua ni magonjwa tu mdawake ulifika.

Sikatai theory zenu mnazozitengeza najua mlimpenda sana lakini inataka umakini sana maana mwaweza kuwachukia watu kumbe hawana hatia.

Utakuta nao watu wachadema wanasema hayati alimtuma watu wampige TAL risasi.

Kwa maoni Yangu kisasi ni cha Mungu unaweza kuishi kwa kumchukia MTU maisha yako yakawa mafupi.soma kisa cha yakobo na Esau utajifunza kuwa kuhifadhi chuki ni chukizo kwa Mungu .

"KISASI NI CHA MUNGU"


"
 
Amekufa ila fikra na maono yake hayajafa, ndio maana unaona makelele kila kona umeme na maji vikikosekana swali linalokuja Magufuli aliwezaje? wengi wanatumika kumchafua ila hakika ataendelea kuishi mioyoni mwetu Hayati.
 
Kifo cha Magufuri kilikuwa engineered na wamerakani kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa CCM na serikali na baadhi ya wapinzani..ndo maana wakati amelazwa wapinzani walianza kutoa taarifa
Wabongo na story za kusadikika a.k.a za vijiweni.

Kila baya linalotokea nchini blame marekani. Hatuna utamaduni wa kuchukua responsibility za matatizo yetu... ni kulaumu wazungu hata kwa mambo kufikirika.

Haya ukiitwa udhibitishe allegation zako kwa evidence utaweza?+a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…