Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Hawatojulikana. Mtaendelea kupata rumors mpaka mwisho wa dunia. na hamna kitu mnaweza fanya. Huo ndio ukwel
Miaka ya 1996 nilikuwa namkubali sana Tupac Shakur, kiasi kwamba baada ya kifo chake tukaletewa theory kibao kwamba Tupac yuko hai na atakuja kuonekana miaka ya baadae, na mimi niliingia kundi la wajinga kuamini ujinga huo kama wajinga hawa leo team yatima wanavyoamini ujinga huu.
 
Ninavyojua Magu alikufa kifo cha papo kwa papo.
Angalia vizuri hii picha wala huwezi kusumbuka kujuwa kiburi chake ndio kimempa Corona.

FB_IMG_1634495256250.jpg
 
Na GENTAMYCINE naomba Kumjua huyu Mtu ( Watu ) ambao walikubaliana kuwa 'Watufiche' Watanzania Kuugua Kwake Hayati Rais Dkt. Magufuli...
Acha unaa!

Aliyeficha kuugua kwa Magufuli ni Magufuli mwenyewe, na alikimbilia Chato.

Sasa ulitaka nani atangaze kuwa anaugua?

Magufuli alikuwa na faili Milembe, aliwahi kukutangazia?
 
ukifuatilia mwenendo wa JPM siku za karibu kabla ya kifo chake utagundua hakuwa mzima kiafya, Afya yake siku ya uzinduzi wa ile Kijazi Interchange ilionekana kabisa haikuwa sawa..
 
Na GENTAMYCINE naomba Kumjua huyu Mtu ( Watu ) ambao walikubaliana kuwa 'Watufiche' Watanzania Kuugua Kwake Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Kwani Watanzania tokea tu Kuanza Kuugua Kwake tungetangaziwa Kungeharibika nini hadi tukafichwa Kiasi kile

Sijui, lakini nasikia hata yeye mikono yake ilijaa damu za watu chini ya Wasiojulikana,

Juu ya yote kila nafsi itaonja mauti na hakuna nafsi itakayorejea duniani basi tuangalie zaidi mambo yajayo na tusahau yaliyopita yasiyokuwa na tija, by hooks or crooks he will not comeback.
 
Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi.

Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam...
Sukuma gang mnatapatapa kweli haki ya Mungu.

Ukishajua itakusaidia nini kwa mfano?
 
Magufuli ameweka standards za uongozi Tanzania wahuni watake wasitake...

Mapinduzi yajayo ya Serikali yatakuwa kwa Jina la Magufuli. Na Nina hofu Magufuli amekufa na CCM mioyoni mwao.

Rais wa Sasa ni either akubali kupumzika 2025 au alazimishe kuendelea ili aiue CCM Rasmi.

Hawa akina Warioba, Pinda, Mangula hawamtaki aendelee ndio maana wanahakikisha Mchakato wa tume huru na Katiba zirejewe haraka, ili wasishindane na Wanaojiita wenye CCM ndani ya CCM.

Akina Sumaye walipelekwa upinzani ili kuandaa njia
 
Kwa nini mtu uende msibani useme mimi sikumuua marehemu wakati haujaulizwa chochote juu ya marehemu? Halafu kwa nini ziara za kituo cha Mbezi ziwe mbili ndani ya muda...
Ebu punguza ndoto za alinacha babu
 
Back
Top Bottom