Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hawatojulikana. Mtaendelea kupata rumors mpaka mwisho wa dunia. na hamna kitu mnaweza fanya. Huo ndio ukwelUsikae mbali Mkuu 'Soon' watajulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatojulikana. Mtaendelea kupata rumors mpaka mwisho wa dunia. na hamna kitu mnaweza fanya. Huo ndio ukwelUsikae mbali Mkuu 'Soon' watajulikana.
Kwanza mtu mwenyewe hata kuwa kwake hai tu ilikuwa ni hisani ya mabeberu kumuwekea kibetri kwenye moyo kizalishe umeme.Aibu mpaka leo kusema alipata COVID 19
Miaka ya 1996 nilikuwa namkubali sana Tupac Shakur, kiasi kwamba baada ya kifo chake tukaletewa theory kibao kwamba Tupac yuko hai na atakuja kuonekana miaka ya baadae, na mimi niliingia kundi la wajinga kuamini ujinga huo kama wajinga hawa leo team yatima wanavyoamini ujinga huu.Hawatojulikana. Mtaendelea kupata rumors mpaka mwisho wa dunia. na hamna kitu mnaweza fanya. Huo ndio ukwel
Angalia vizuri hii picha wala huwezi kusumbuka kujuwa kiburi chake ndio kimempa Corona.Ninavyojua Magu alikufa kifo cha papo kwa papo.
Acha unaa!Na GENTAMYCINE naomba Kumjua huyu Mtu ( Watu ) ambao walikubaliana kuwa 'Watufiche' Watanzania Kuugua Kwake Hayati Rais Dkt. Magufuli...
Mwenyewe nilitaka kuandika kitu kama hiki na huu ndio ukweliCOVID 19 deniar....
Na ikamchukua kweli...
Na GENTAMYCINE naomba Kumjua huyu Mtu ( Watu ) ambao walikubaliana kuwa 'Watufiche' Watanzania Kuugua Kwake Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Kwani Watanzania tokea tu Kuanza Kuugua Kwake tungetangaziwa Kungeharibika nini hadi tukafichwa Kiasi kile
Sukuma gang mnatapatapa kweli haki ya Mungu.Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi.
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam...
Umeonaeeeeee?Sukuma gang wanateseka sana
Wewe nani?Ninavyojua Magu alikufa kifo cha papo kwa papo.
Ebu punguza ndoto za alinacha babuKwa nini mtu uende msibani useme mimi sikumuua marehemu wakati haujaulizwa chochote juu ya marehemu? Halafu kwa nini ziara za kituo cha Mbezi ziwe mbili ndani ya muda...
Umerogwa?Magufuli ameweka standards za uongozi Tanzania wahuni watake wasitake...
Mapinduzi yajayo ya Serikali yatakuwa kwa Jina la Magufuli. Na Nina hofu Magufuli amekufa na CCM mioyoni mwao...
Hiyo corona ilikua inaua viongozi tu kwasbbu ya viburi vyao? Hebu amka wewe bongolalaAngalia vizuri hii picha wala huwezi kusumbuka kujuwa kiburi chake ndio kimempa Corona.
View attachment 2050569