Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

Hawa viongozi wetu wakiwa madarakani kuna kujisahau flani hivi.

Unakalia kiti mwishowe unakiacha anakuja mwingine.

When the reality hits you hard unaanza kufikiri kuwa you were supposed to be exempted from torture, kumbe maskini ni binadamu tu kama wengine.
 
Ingekuwa hivi, yangekuwa yakiuzwa kwenye ile minada, mnunuzi angekuwa anapewa hiyo namba ya T…DVS.
Lakini sasa hivi ukilinunua gari la serikali, utalazimikq kulisajili kwa namba ya sasa T…EKB
 
Ingekuwa hivi, yangekuwa yakiuzwa kwenye ile minada, mnunuzi angekuwa anapewa hiyo namba ya T…DVS.
Lakini sasa hivi ukilinunua gari la serikali, utalazimikq kulisajili kwa namba ya sasa T…EKB
Uko sahihi
 
Sasa mkuu uzuie serikali unajipenda au, halafu ujue hao watumishi wanaenda kutuhudimia sis wananchi
 
Ingekuwa hivi, yangekuwa yakiuzwa kwenye ile minada, mnunuzi angekuwa anapewa hiyo namba ya T…DVS.
Lakini sasa hivi ukilinunua gari la serikali, utalazimikq kulisajili kwa namba ya sasa T…EKB
Ni kweli kabisa
 
Haya yote ni matokeo ya kucheka na sheria za inchi. Tungekuwa wakali na sheria na kukaza nadhani tusingefika huku.
 
Chuma ya mwaka huu imetoka japan january ina plate ya T ... BXX nayo imesajiliwa ilivoingia?
 
je ni sahihi kuendelea kutumika ile plate namba ya zaman ? swala sio usajili , swala ni utumikaj
 
unatetea matumiz ya gari za serikali kutumika kwa maswala yao binafsi ,plate namba inapaswa kuwa moja na gari inapaswa kutojificha maana tunaamin popote ilipo kuna dhima ya kiutumishi na inapaswa kutambulika ili isiingiliwe kwenye majukumu yake , la sivyo watauliwa sana kama Tegeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…