unahudumia bil utambulisho wa gari ? kwann wamepewa usajili maalum hlf hawatak kuutumiaSasa mkuu uzuie serikali unajipenda au, halafu ujue hao watumishi wanaenda kutuhudimia sis wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unahudumia bil utambulisho wa gari ? kwann wamepewa usajili maalum hlf hawatak kuutumiaSasa mkuu uzuie serikali unajipenda au, halafu ujue hao watumishi wanaenda kutuhudimia sis wananchi
Shiiiiii!.Kweli. Likitokea tatizo mfano ajali, tutaanzia wapi kureport.
Kuna watu wanajiona miungu watu, bila huruma wala nn wanabandika kwa clippers flani izo number plate.
Huo utaratibu umeanza lini? Na ndiyo mmepanga muwe mnazibadilishabadilisha kadri mtakavyo? Huo ni uhuni wa kufichia maovu.Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Huo ni utaratibu huko kwenu tu TZ na umeanza lini? Wengine wazazi wetu walikuwa serikalini na hayo magari ndiyo yalikuwa yakitupeleka na kuturudisha mashuleni kila siku lakini hayakuwahi kuwa na numbers mbilimbili huu utaratibu mliouanzisha ni kwa malengo gani? Au ndiyo kutengeneza loopholes za watekaji na wauaji?Elimu elimu elimu
Shida ya wabongo huwa hawana tabia ya kuuliza vitu yeye akishashiba ugali wake,mpe kichwa cha habari tu story nzima ataimaliza yeye.
Gari zote za serikali huja na namba za kiraia kupitia wizara ya ujenzi kisha namba hizo husajiliwa tena kwenye taasisi/wizara husika kwa namba husika.
Swala la kubadili namba limeruhusiwa kisheria endapo mhusika/mwenye cheo mfano mkuu wa mkoa hayumo ndani ya hyo gari hivyo dereva hutakiwa kubadili namba na kuweka namba iliyokuja na gari ama namba inayotambulika na ofisi.
Na pindi mhusika anapopanda plate namba yenye cheo chake huwekwa kwenye gari husika kutambulisha ni gari ambayo imembeba fulani.
Japo mfumo huo ni tofauti kidogo na jeshi au polisi ambako wao huwa hawaweki namba za kiraia bali za jeshi then mhusika anapopanda huwekwa initial kama nyota nk ili kutambulisha kwenye gari kuna fulani
Huu wanaodai ndiyo utaratibu umeanza lini? Ni mambo wanayojifania kwa kuficha uovu wanaoufanya.Pokeeni ushauri,acheni kuona ninyi ni vichwa,panapohitaji mabadiriko fanyeni mabadiriko.
Kwani magari ya serikali yakipokelewa yakapewa namba za serikali moja kwa moja kuna shida gani?
kama issue ni kutaka kujua nchi imeingiza au ina magari mangapi ni kuchukua idadi ya yanayomilikiwa na serikali ukaongeza uliyoyasajiri kwa namba za kawaida.
Ila kama ni ule mfumo wa mbuzi kula kwa kamba yake hapo nitaelewa,lakini kusema hili lipo kwa manufaa ya nchi nakataa mpaka kesho.
Sijamaanisha kutetea ndiyo maana nimekuuliza ungekuwa mshauri wa masuala ya usalama kwa viongozi wa nchi hasa wa kitaifa ungeruhusu jambo hili ama ungekataa?unatetea matumiz ya gari za serikali kutumika kwa maswala yao binafsi ,plate namba inapaswa kuwa moja na gari inapaswa kutojificha maana tunaamin popote ilipo kuna dhima ya kiutumishi na inapaswa kutambulika ili isiingiliwe kwenye majukumu yake , la sivyo watauliwa sana kama Tegeta
Ninachofahamu gari mfano yenye namba W EL huwa ina namba zake STL au STK ambazo zinatumika boss asipojuwepo kwenye gari. Hii ya namba za kawaida BCD au EFG ndio nasikia leo.Elimu elimu elimu
Shida ya wabongo huwa hawana tabia ya kuuliza vitu yeye akishashiba ugali wake,mpe kichwa cha habari tu story nzima ataimaliza yeye.
Gari zote za serikali huja na namba za kiraia kupitia wizara ya ujenzi kisha namba hizo husajiliwa tena kwenye taasisi/wizara husika kwa namba husika.
Swala la kubadili namba limeruhusiwa kisheria endapo mhusika/mwenye cheo mfano mkuu wa mkoa hayumo ndani ya hyo gari hivyo dereva hutakiwa kubadili namba na kuweka namba iliyokuja na gari ama namba inayotambulika na ofisi.
Na pindi mhusika anapopanda plate namba yenye cheo chake huwekwa kwenye gari husika kutambulisha ni gari ambayo imembeba fulani.
Japo mfumo huo ni tofauti kidogo na jeshi au polisi ambako wao huwa hawaweki namba za kiraia bali za jeshi then mhusika anapopanda huwekwa initial kama nyota nk ili kutambulisha kwenye gari kuna fulani
Inawezekana kabisa unachosema Kiongozi ni sahihi, lakini pia tukumbuke mambo hubadilika hayabaki hivyo hivyo.Ninachofahamu gari mfano yenye namba W EL huwa ina namba zake STL au STK ambazo zinatumika boss asipojuwepo kwenye gari. Hii ya namba za kawaida BCD au EFG ndio nasikia leo.
Kwahio hizi LC300 zenye namba T...ABF au T...BGA ziliingia nchini lini?
Jaribu kutofautisha kupanda gari inayombeba baba/ukiwa kama abiria kwenda kazini na kupanda gari kama mtumishiHuo ni utaratibu huko kwenu tu TZ na umeanza lini? Wengine wazazi wetu walikuwa serikalini na hayo magari ndiyo yalikuwa yakitupeleka na kuturudisha mashuleni kila siku lakini hayakuwahi kuwa na numbers mbilimbili huu utaratibu mliouanzisha ni kwa malengo gani? Au ndiyo kutengeneza loopholes za watekaji na wauaji?
Point yangu ni kwamba hayakuwa na namba mbilimbili iwe anatumia yeye au tunatumia sisi.Jaribu kutofautisha kupanda gari inayombeba baba/ukiwa kama abiria kwenda kazini na kupanda gari kama mtumishi
Dawa yao ni kama tegeta tu had watajaneHuu wanaodai ndiyo utaratibu umeanza lini? Ni mambo wanayojifania kwa kuficha uovu wanaoufanya.
unapotetea ni vzr ukatumia akili , Kiongoz ni kipenz cha watu inakuwaj anajihami dhidi ya watu wake ?
Sheria za UsalamaKwa sheria gani
Usalama barabarani auSheria za Usalama
Ndo maana nkasema wewe ulikuwa ni kama abiria tu huna ujualoPoint yangu ni kwamba hayakuwa na namba mbilimbili iwe anatumia yeye au tunatumia sisi.
HahahNdo maana nkasema wewe ulikuwa ni kama abiria tu huna ujualo
Naungana na wewe kwa asilimia mia. Unajua hawa jamaa wanatoa majibu yao uchwara humu wanafikiri huko serikalini wanafanya kazi wenyewe na hakuna watu wengine wenye uelewa zaidi yao.Hichi kitu sio sahihi, ni uongo kwa 100%.
Kila gari (haijarishi ya binafsi, jeshi, serikali) huwa na usajiri wa namba moja tu katika wakati mmoja, gari moja haiwezi na haipaswi kuwa na namba mbili za usajiri kwa wakati mmoja.
Kama gari ilikuwa ya serikali halafu umiliki ukahamia binafsi, ile namba ya awali ya usajiri ya serikali hufa ili kuzaliwa namba mpya ya binafsi, na haitafufuka tena. Vice versa ni sawa.
Kinachoweza kubadilika katika gari za serikali ni vibao vya utambulisho ili kuficha vibao vya namba husika. Kwa mfano gari yoyote ya serikali inaweza kutolewa kibao cha namba ya asili (mfano STH 892) ili kuwekwa kibao chenye utambulisho wa ufupisho kwa viongozi wa juu mfano waziri, naibu waziri, makamu wa rais, waziri mkuu nk. Na wahusika wakiwa hawajabebwa kwenye hayo magari na hayo magari kwenda kutumika kwa shughuli zingine vibao vya utambulisho wa viongozi hung'olewa na namba halisi (asili) za serikali (STK, STJ, STH) kwa gari husika hurejeshwa. Lakini kamwe hauruhusiwi gari ya serikali kuwekwa namba binafsi. Ni uhalifu. Ni mchezo mchafu umeanza kuzoeleka katika jamii yetu. Haipaswi.
Wanaficha madhambi yao wanayofanya huku mitaani.unahudumia bil utambulisho wa gari ? kwann wamepewa usajili maalum hlf hawatak kuutumia