Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kulipia kadi ni zoezi la msimu, swala la mchango ni frequently unaweza kuchangia hata mara kumi
Kwa hiyo na aslimia 51 iliyobaki inamilikiwa na nani?Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??
Hata mimi nimemshangaa hapo, anataka mwenye 49 ajenge uwanja peke yake wakati kuna mwenye hisa kubwa 51 hataki naye achangieUnaulizia hisa 49 wakati kuna 51 huulizi?
Hiki kitu niliwahi kuhoji sehemuSerikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??
Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?
Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.
Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
[emoji1]Delila FC a.k.a Queen FC
Mzee Kilomoni mwenye hati hajakubaliana na huo utaratibuHao wenye hisa 51% wameshazilipia?! Na hizo b20 alizotoa unajua zimewekwa kwa utaratibu gani? Wenye timu yao wamekubaliana na huo utaratibu wa kuchangia, wewe na wivu wako wa kike unakuja kulialia hapa. Kuchanga kwao wewe unakosa pesa ya kula?! Jambo halikuhusu, unalitolea povu. Nyinyi uto kilichobaki ni kutembea uchi tu hadharani.
Sio kama hapendwi ni kawaida ya malofa, wanyonge, maskini kumchukia tajiri ndio roho za maskini wa Tanzania zilivyo, utawala wa Magufuri alivyokuwa anatumbua watu hadharani!maskini walivyokuwa wanashangilia!! na kuruka ruka kwa furaha! Watanzania walio maskini asilimia kubwa ndio wanaongoza kwa kuwa na chuki kwa mtu aliefanikiwa!
Acha Makolo wagongwe,hakuna namnaSerikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??
Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?
Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.
Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
kwa hiyo unapendekeza ajenge sehemu ndogo halafu sehemu nyingine awaachie wanachama wamalizie? πππHata mimi nimemshangaa hapo, anataka mwenye 49 ajenge uwanja peke yake wakati kuna mwenye hisa kubwa 51 hataki naye achangie
Huyu ana chuki kubwa na Mo na Simba
Huyo jamaa ni Kigwangwala tangu anyimwe ule mkopo amekuwa adui namba moja wa Mo.unajisumbua kupigia mbuzi gitaa. hapo unazungumza na mtu mwenye chuki binafsi na Mo Dewji
kwani kachangia kama mwekezaji au kama mwanachama?Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??
Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?
Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.
Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Na aliyekuwa kocha wa Yanga aliwahi kusema washabiki wa Yanga ni kima na wasio na elimu wanachoweza ni kuzomea zomea tu,nimeamini kauli hiiKuna kiongozi mmoja wa Simba aliwahi sema mashabiki wa simba ni mambumbu sasa naelekea kuamini kauli yake