Kwanini serikali imenyamaza kimya?Huku Simba wana changisha??

Kulipia kadi ni zoezi la msimu, swala la mchango ni frequently unaweza kuchangia hata mara kumi

Sawa ngoja tusubiri kuona. Project ingekua phased kidogo ingekua na mashiko nafikiri ndii ingekua njia rahisi.

Au simba wange register kampuni nyingine inayokua inamiliki uwanja wa list share, mchango unatoa ukunufaishe nawe pia mchangiaji.
 
Unaulizia hisa 49 wakati kuna 51 huulizi?
Hata mimi nimemshangaa hapo, anataka mwenye 49 ajenge uwanja peke yake wakati kuna mwenye hisa kubwa 51 hataki naye achangie
Huyu ana chuki kubwa na Mo na Simba
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Hiki kitu niliwahi kuhoji sehemu

Kama gharama ya kujenga uwanja ni B 30, japo simba haina hata michoro ya uwanja

Iweje mwekezaji atoe B 2 na wanachama na wapenzi watoe B 28 na bado mwekezaji akabaki kumiliki 49% of shares?
 
Hao wenye hisa 51% wameshazilipia?! Na hizo b20 alizotoa unajua zimewekwa kwa utaratibu gani? Wenye timu yao wamekubaliana na huo utaratibu wa kuchangia, wewe na wivu wako wa kike unakuja kulialia hapa. Kuchanga kwao wewe unakosa pesa ya kula?! Jambo halikuhusu, unalitolea povu. Nyinyi uto kilichobaki ni kutembea uchi tu hadharani.
Mzee Kilomoni mwenye hati hajakubaliana na huo utaratibu
 
Asante sana mkuu,umemaliza
Sio kama hapendwi ni kawaida ya malofa, wanyonge, maskini kumchukia tajiri ndio roho za maskini wa Tanzania zilivyo, utawala wa Magufuri alivyokuwa anatumbua watu hadharani!maskini walivyokuwa wanashangilia!! na kuruka ruka kwa furaha! Watanzania walio maskini asilimia kubwa ndio wanaongoza kwa kuwa na chuki kwa mtu aliefanikiwa!
 
Sasa hujui makanjibhai tabia zao?
Makolo ya humu hayajachanga hata jero lakini ni viherehere kushupaza ahingo

Tajiri yao Hana hela ya mishahara sasa ameona atumie mbinu hiyo kijanja na kwanza bilioni 30 watainya wapi mashabiki wengi wa simba ni maskini.
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Acha Makolo wagongwe,hakuna namna
 
Hata mimi nimemshangaa hapo, anataka mwenye 49 ajenge uwanja peke yake wakati kuna mwenye hisa kubwa 51 hataki naye achangie
Huyu ana chuki kubwa na Mo na Simba
kwa hiyo unapendekeza ajenge sehemu ndogo halafu sehemu nyingine awaachie wanachama wamalizie? 😂😂😂
 
Simba ilikua inaicheka Yanga sasa na wao wanapitisha mabakuli
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
kwani kachangia kama mwekezaji au kama mwanachama?
 
Kuna kiongozi mmoja wa Simba aliwahi sema mashabiki wa simba ni mambumbu sasa naelekea kuamini kauli yake
Na aliyekuwa kocha wa Yanga aliwahi kusema washabiki wa Yanga ni kima na wasio na elimu wanachoweza ni kuzomea zomea tu,nimeamini kauli hii
FB_IMG_1616853117648.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom