Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Mbona takwimu hawatoi na hujashangaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo familia ya benson ilikuwa na cheo gani serikarini mpaka watangaze kifo chake, mbona watu wanakufa miaka yote huku mitaani hawatangazwi, au kwa kuwa huyo anapesa?
 
Mange na kigogo wametoa idadi ya wagonjwa wangapi na marehemu wangapi wa corona?.
Au nao wanapiga ramli kwanza..
Serikali imewaachia wao wawalishe matango pori kama mnawasikiliza wasikilizeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo mange atangaze ya huo USA ndiko aliko, ya huku awachie wa huku. Atwambie leo marekani wamekufa wa ngapi na watu weusi hawabaguliwi tena?
 
Wanakosea nao jf tunasema magonjwa ya kupumua
 
Na taarifa Ni za kweli nakwambia wewe mleta mada unayetaka kutetea mabwana zako.Ni kweli kwa sababu ndugu na marafiki wameumizwa sana sana na uzembe,unyama na kila aina ya kutojali iliyofanywa na serikali ya ccm tangu awali kabisa. Hali Ni mbaya mbaya mbayaaa,watu wanakufa hovyo.Kama huamini zagaa nawe utatolewa taarifa.

Et sintowaangusha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizara iendelee kutangaza wanaopata maambukizi, waliokufa, waliopona na waliofanyiwa test.

Katikato ya ukimya wa serikali zinaibuka sauti za kigogo, mange na g haule
 
Hiyo familia ya benson ilikuwa na cheo gani serikarini mpaka watangaze kifo chake, mbona watu wanakufa miaka yote huku mitaani hawatangazwi, au kwa kuwa huyo anapesa?

Cheo sio heshima pekee kwenye jamii. Jamii kama ya Arusha ya biashara inathamini zaidi wafanyabiashara wanaoleta kazi na kujenga miji kwa uwekezaji kuliko wadau wa serikali. Alikuwa mfanyabiashara toka miaka ya 80’s . Sababu ya kutangaza ni ili watu wasije kwenye mazishi maana amekufa kwa Corona na kuna masharti ya watu wasiozidi 10 hawakutaka watu waende kwenye mazishi halafu polisi wawazuie
 
Katibu mkuu aliondolewa kwa kuwa alikuwa mkweli!

Mwanzo sikutaka kuamini kama wewe, ukweli hali ni mbaya,viongozi wamekosa utu,wameweka rehani maisha ya Wa-Tz. Hawasemi ukweli wanaangalia uchumi na kodi na bahati mbaya hiyo Kodi haimpi uhakika wa kupata huduma mhanga wa Covid-19.

Jilinde ndugu yangu,achana na wasaliti wanaolipwa fedha kina mjingamimi, Bia yetu nk.

Mama Ummy Mwalimu jiuzulu, funga yako haitaswihi kwa kusoma taarifa za uongo
 
Huyo mange atangaze ya huo USA ndiko aliko, ya huku awachie wa huku. Atwambie leo marekani wamekufa wa ngapi na watu weusi hawabaguliwi tena?

Wenye Corona wote wamefika milioni moja na walikufa mpaka leo US ni 56,000.
 
Huo sio uvumi, sema umekuja mapema sana, yaani"breaking news" na njia yake ndio hiyo!
 

Kuna jaji mstaafu nae kafa nasikia alikuwa anaumwa kwa muda mrefu, je ikiwa sio korona unatahani atazikwa na watu wengi?
 
Dawa ya uongo ni facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange na kigogo wametoa idadi ya wagonjwa wangapi na marehemu wangapi wa corona?.
Au nao wanapiga ramli kwanza..
Serikali imewaachia wao wawalishe matango pori kama mnawasikiliza wasikilizeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalieni wazee wenu acheni siasa Magu mwenyewe yuko likizo alienda mwezi wa tatu wakati Mwezi wa kumi na mbili tu alikuwa likizo wengine wajinga jinga badala ya kutoa suluhisho wanaweza siasa. Hakuna siasa kwenye ugojwa wote tupo sawa Corona haina chama
 
 

Mkuu, hawa ndo wamiliki wa yale maduka ya Benson?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…