Mkuu, hawa ndo wamiliki wa yale maduka ya Benson?
Ndiyo mwazilishi huyo mzee anafahamiika sana na ndiyo maana wametoa habari ili watu wasiandamane kwenda kumziika au kutoa pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hawa ndo wamiliki wa yale maduka ya Benson?
Tatizo, ni mkwara wa Yohana siku ile alipo ongea na kutoa PS imewatisha wahusika wote. Imagine mpaka Paulo kauchuna.Hakuna uvumi ni ukweli mtupu watu wanakufa na sasa wanakuwa wawazi na ndiyo maana serikali haiwezi kubishana na misiba. Tatizo data za serikali zinachelewa na kama ni mzee hawawi wawazi mfano hii familia ya mzee mwenye benson wa Arusha kafariki leo
*D E A T H A N N O U N C E M E N T*
*Haji Abbas Mohamedhussein*
(Benson )has passed away In Arusha
*Marhum was the Father of Raza and Naushad Grandfather of Nedeem and Safraz
*BURIAL*
DATE: *28/04/2020
DAY: *TUESDAY*
VENUE: Arusha
*COVID-19 RESTRICTIONS APPLY*
*1. Only Close Family Members (Ladies & Gents) to attend (5 - 6 from each side)*
*2. Everyone is requested to maintain the restrictions in place*
Mnaombea mabaya yawafikishe Ikulu, mna laana. Huu ni wakati wa kuhamasishana kuzingatia ushauri kuhusu kinga na kukemea wasio fanya hivyo.Kwanza mtasema uvumi baadae itathibitishwa itajaribu kufichwa mwisho wataachia tu tutaongea kitu kimoja halafu tushirikiane kuwaambia wajiuzulu
Ndugu yangu hata kama kusoma hujui picha nayo huelewi? Unataka serikali ifanye nini wakati asilimia 90 ya yanayosemwa ni ukweli? Hivi wewe huaminiki kuwa watu wanafariki kwa hawa virus kila uchao? Wiki iliyopita niliambiwa na mtu anayeaminika kuwa jijini Dar kila siku usiku wanazikwa watu si pungufu ya 10. Wiki hii zimeanza kujitokeza clips nyingi za mazishi ya usiku. Na kadiri siku zinavyokwenda ndiyo hali inazidi kuwa mbaya. Huu ugonjwa una tabia moja. Unapoingia kwenye nchi, huingia kwa ukimya sana, na hatua ya kwanza ni kusambaa. Ukishasambaa ndiyo unaanza kusababisha vifo.Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa...mbona Serikali ipo kimya...Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala ...ukimya huu ....unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Nina wasiwasi hata huu Uzi Kama utaachwa na Mod mkiufuta mtakuwa Ni sehemu ya tatizo...
Daa yule Mzee amefariki?? Poleni wafiwa hasa Naushad na Mdogo wake.Hakuna uvumi ni ukweli mtupu watu wanakufa na sasa wanakuwa wawazi na ndiyo maana serikali haiwezi kubishana na misiba. Tatizo data za serikali zinachelewa na kama ni mzee hawawi wawazi mfano hii familia ya mzee mwenye benson wa Arusha kafariki leo
*D E A T H A N N O U N C E M E N T*
*Haji Abbas Mohamedhussein*
(Benson )has passed away In Arusha
*Marhum was the Father of Raza and Naushad Grandfather of Nedeem and Safraz
*BURIAL*
DATE: *28/04/2020
DAY: *TUESDAY*
VENUE: Arusha
*COVID-19 RESTRICTIONS APPLY*
*1. Only Close Family Members (Ladies & Gents) to attend (5 - 6 from each side)*
*2. Everyone is requested to maintain the restrictions in place*
Mlipaji mzuri wa KODI. Mchangiaji mkubwa wa pato la Serikali. Hulazimishwi kuamini.Hiyo familia ya benson ilikuwa na cheo gani serikarini mpaka watangaze kifo chake, mbona watu wanakufa miaka yote huku mitaani hawatangazwi, au kwa kuwa huyo anapesa?
Sasa kama huamini video unataka upewe kitu gani ndio uamini ?Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa...mbona Serikali ipo kimya...Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala ...ukimya huu ....unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Nina wasiwasi hata huu Uzi Kama utaachwa na Mod mkiufuta mtakuwa Ni sehemu ya tatizo...
Mange na kigogo wametoa idadi ya wagonjwa wangapi na marehemu wangapi wa corona?.
Au nao wanapiga ramli kwanza..
Serikali imewaachia wao wawalishe matango pori kama mnawasikiliza wasikilizeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru wenzio wamenielewa ...Tunaangamia ,ahsanteni kwa uwazi!KYALOSANGI kusoma hujui hata picha huoni bos? Unaona picha unasema uvumi?
Kuna jaji mstaafu nae kafa nasikia alikuwa anaumwa kwa muda mrefu, je ikiwa sio korona unatahani atazikwa na watu wengi?
Failure in leadership, per excellence! Haijapata kutokea!Sasa ndugu yangu, sisi wanainchi wa hali ya chini tunafikia hatua ya kuwaamini hao watoa taarifa whelther ni za (KWELI/UONGO), kwa sababu viongozi wetu hawatupi updates zozote, update ya mwisho ni alhamisi ya wiki iliyopita baada ya hapo kumekuwa kimya. Na ndiyo maana watu hao tunalazimika kuwaamini tena tunawaamini kwa maana ya kwamba labda viongozi wetu hii hali imesha washinda. Maajabu yake wiki hii tumepoteza viongozi wakubwa wenye dhamana kubwa katika uongozi lakini bado viongozi wetu hatuwaoni eitjer wakitupa mwongozo, wakitufariji ama kutolea matamko ya hayaambo. Ni kweli kwa namna tuyaonavyo kwenye media hasa twitter. Hali inatisha sana sana sana, nawaza tu kwanini tumefika hapa. Je ni kwamba uongozi wote umeshindwa kabisa kabisa kukaa na wanainchi kutufariji ama vipi.....???
Nguvu ya media imepatikana baada ya viongozi wetu kuwa kimya, keep in mind kuwa tutawaamini zaidi wa media kwa sababu hawaji na maneno wanakuja ushahidi wa mambo yalivyo.
MUNGU AENDELEE KUTUSAIDIA KATIKA HILI. INATISHAA
Sent using Jamii Forums mobile app