Unakaaaje ndani huna helaKaa ndani,kuna vipindi vya tv vingi tu vizuri
Hii ilikuwa hatari sana, tarehe 30 mimi nilitoka naenda masjid nikijua saa 12 ishapita nafika road nakutana na risasi, ningerudisha namba siku ile huenda hata mwili usingerudi, iko haja hata kama ni kuendeshwa kihuni maelezo yawe yananyooka! vinginevyo tutaisha sana.Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria.
Mfano, hawakusema ikifika saa 12 ya jioni au ya muda gani. Hawakusema pia lile katazo lilikuwa linaenda hadi muda gani. Matokeo yake, asubuhi, watu walidhani katazo limekwisha au wanatakiwa kurudi ndani ikifika jioni ya saa 12, kumbe hata ile asubuhi na mchana wa October 30 lile katazo lilikuwa bado valid. Watu wakatandikwa shaba kama kuku.
Kwahiyo mnawalazimisha wafanya biashara wafunge biashara zao? Wenye viwanda wafunge viwanda vyao? Na madereva wa magari waache kazi zao za kujitafutia riziki?Kaa ndani,kuna vipindi vya tv vingi tu vizuri
Hata askari wanatamani yaendeleee. Wanapiga sana hela.HAPA DUKANI KWANGU NIMEUZA SANA LEO HADI NATAMANI MAANDAMANO YAENDELEE
Hata askari wanatamani yaendeleee. Wanapiga sana hela.
Ulinzi binafsi kwenye ofisi za watu na posho za chungu kikuu.
Kumbe hawa askari walikuwa hawafanyi kazi. Hii nchi tunaweza kuishi bila ujambazi wala vibaka.Mimi mwenyewe natani maamdamano yaendelee, Nimependa ulinzi Serikali imeamua kutupatia tukiwa barabarani na matembezi
Huu ulinzi alikua anapewa Samuya pekee sasa na sisi walala hoi serikali imetulumbuka
Wanatoa taarifa zenye ukakasi kwa makusudi. Leo wanasema wanatoa ushauri watu wakae ndani lakini ni amri. Hawataki kuonekana wametoa amri ya watu kukaa ndani ila wanataka wapate faida za watu kukaa ndani.Hii ilikuwa hatari sana, tarehe 30 mimi nilitoka naenda masjid nikijua saa 12 ishapita nafika road nakutana na risasi, ningerudisha namba siku ile huenda hata mwili usingerudi, iko haja hata kama ni kuendeshwa kihuni maelezo yawe yananyooka! vinginevyo tutaisha sana.
Biashara gani tena au maduka mlioenda kuvunja?Kwahiyo mnawalazimisha wafanya biashara wafunge biashara zao? Wenye viwanda wafunge viwanda vyao? Na madereva wa magari waache kazi zao za kujitafutia riziki?
Msikitini tusiende?Kaa ndani,kuna vipindi vya tv vingi tu vizuri
Kukaja kusikika hadi Ijumaa watu waswalie nyumbani, kuna wazee walidhani utani wanaenda msikitini ile ijumaa wakazuiwa na polisi ikabidi wakarudi nyumbani.Hii ilikuwa hatari sana, tarehe 30 mimi nilitoka naenda masjid nikijua saa 12 ishapita nafika road nakutana na risasi, ningerudisha namba siku ile huenda hata mwili usingerudi, iko haja hata kama ni kuendeshwa kihuni maelezo yawe yananyooka! vinginevyo tutaisha sana.
Wanatoa taarifa zenye ukakasi kwa makusudi. Leo wanasema wanatoa ushauri watu wakae ndani lakini ni amri. Hawataki kuonekana wametoa amri ya watu kukaa ndani ila wanataka wapate faida za watu kukaa ndani.
Wewe umeelewaje?Ni ushauri au amri?
Wao si wamezoea kula kodi wanadhani hela inapatikana kwa kukaa nyumbaniKwahiyo mnawalazimisha wafanya biashara wafunge biashara zao? Wenye viwanda wafunge viwanda vyao? Na madereva wa magari waache kazi zao za kujitafutia riziki?
Wanaume wakiwa wanaongea mabinti mkae kimya ndio mila zetu watanganyikaBiashara gani tena au maduka mlioenda kuvunja?
Viwanda gani tena au vile mlivyoenda kuvamia kama kule mwanza mkaungua kama kuku wa kukaanga?
Magari gan tena ambayo mlichoma na kuharibu hadi na vituo vya mafuta?
Walitoa taarifa ile kimkakati wakiwaza mbele ili siku moja wakifikishwa mahakamani waseme taarifa ya kukaa ndani ilitolewa kwenye vyombo vya habari na wale waliotoka nje walikaidi amri hiyo.Umeongea kitu cha msingi Sana.
Ilibaki kidogo nisababishe family member wangu mmoja auwawe siku ya 30/10.
Nikimpigia simu jioni ya 29/10 kuwa kesho asubuhi awahi akaongeze stock ya mahitaji muhimu.
Bahati nzuri aliwasiliana na watu wengine wakamjulisha asithubutu kwenda central business area ya mtaani.
Na kweli, walipoenda kununua vitu siku hiyo asubuhi walipigwa shaba bila kuulizwa au kupewa onyo.
Jamaa waliua kikatili sana. Ni kwamba walikuwa ktk fighting mode kama kwenye war front line. Huku wananchi wakichukulia maandamano yameisha tarehe 29/10 hawana mpango Tena was kuandamana.
Nadhani kulikuwa na mawasiliano mabaya au hafifu miongoni mwa majeshi, usalama wa taifa na viongozi wa juu wa serikali. Kuna delay ya kutathimini situation on the ground na kipi kifanyike kupunguza civilian casualties.
Poor planning on military and intelligence services na executive leaders.