Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

Halafu risasi zilivyokuwa zinapigwa hakuna kuulizwa dini wala kabila lako, ila kuna wapuuzi wanataka kugawa watu kidini. Au Shekh uliona risasi zilikuwa na msamaha kwa kundi maalumu?
Hayo mambo ya dini yameletwa na dola ili kukwepa uwajibikaji, wanataka vita vihamishwe kutoka kwa watawala viwe kati ya waislam na wakristo maskini, ili wenyewe wapumue kidogo.. serikali ukiangalia imejaa wakristo na waislam .. hata mafisadi said lugumi, anjela kiziga, nchemba etc. Kuna, wale wapuuzi wadunguaji kutoka zanzibar, walikuwa wanadai polisi kutoka bara waliwaua kule zenji bila kujali dini, wao walikuwa wanatumia uzanzibar so ishu ya udini haipo.

Sema binafsi hii vita ya kidini siwezi kushiriki kabisa, kwa sababu kwenye ukoo kuna wakristo na waislam upande wa mama, wakisema wanaanza kuuana kidini maana yake nianze kuua familia, achilia mbali marafiki au wafanyikazi wenzangu.
 
Back
Top Bottom