Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hilo mbona zamani halikuwepo?Kuna vyuo vya kati 35 vinavyotoa cheti na diploma nchi nzima.
Makadirio ya wahitimu kwa chuo kimoja ni >500 kwa mwaka...
Piga 500 x 35 = 17500 ...hayo ni makadirio ya chini,
Kwahiyo idadi ya walimu wa cheti na diploma wanaohitimu kwa mwaka ni kubwa kuliko degree,