Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 884
- 1,432
Huyu wa diploma hana mkato ya NHIF na cwt?Hapana mkuu sio kweli
mwalimu mpya mwenye shahada anaanza na ngazi ya mshahara ya daraja D sawa na 716,000(basic). Baada ya deductions zote kuanzia cwt,nhif, heslb nakadhalika karibia nusu ya mshahara wote hurudi serikalini na hivyo kufanya mishahara yao kukaribiana kabisa na mishahara ya walimu wenye diploma. Kama ni kutofautiana wanatofautiana kwa kiasi kidogo sana kisichozidi 50,000.
Sasa huo mshahara mkubwa unaosema ni upi mkuu?