Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

Hilo mbona zamani halikuwepo?
 
Mshahara wa mwalimu wa degree unazidi kiasi ulichokitaja.
Mkuu mbona unapinga ilikhali hujui kile unachopinga? Mshahara Wa Mwalimu Wa degree anayeanza kaxi kwa sasa ni D1 ambao ni almost 716,00O wakati huo D2 ni almost 740,000 na kuendelea,au unataka nikuwekee salary slip hapa ndo uamini?
 
Kuna shule ngapi za msingi- walimu wa cheti
Kuna shule ngapi za o-level- walimu wa diploma
Kuna shule ngapi za a-level- walimu wenye digrii.

Ndugu mwalimu mleta uzi hapa kinachoangaliwa ni allocation ya walimu kutokana na uhitaji. Equity not equality. Huwezi kuajiri walimu wenye degree wengi sawa na wenye cheti wakati shule za sekondari ya juu ni chache na wanafunzi ni wachache kuliko shule za msingi
 
Kafanya vile ili kutilia mkazo kuwa jamaa anangalia gharama za mshahara tu
 
Jibu lako ni hili hapa.

Walimu hao wenye degree ni wachache ukilinganisha na wenye certificate na ndio maana katika kuajiri utaona wao wachache kwa idadi ila kwenye ratio ni sawasawa tu...

Watu wanabwabwaja tu.
Uongo mkubwa
 
Kikubwa ni fedha na kingine wasikukatishe tamaa sasa hvi serikali ina ajiri hata wa degree msingi nafikiri wanataka degree ndio iwe level ya taaaluma kwa walimu wote kuanzi msingi ni project ambayo bado inafanyiwa kazi kma italeta mafanikio kiutendaji na kirasilimal watu maana shule za msingi ni nyingi
 
Hao wenye degree wanalengwa wakafundishe A-level ambazo zipo chache, hivyo utaona hawahitajiki wengi saaana.
Mkuu kwa upande wa O' level walimu wenye shahada ndio wanafundisha kidato cha 3&4 huku walimu wenye diploma wakifundisha kidato cha 1&2. Mbali na O'level wenye shahada ndio wanafundisha advance na vyuo vya kati kwahiyo kwa kuangalia tu utaona jinsi walivyo na wigo mpana wa ajira lakini serikali haiwaajiri kwanini?
 
Kwani umeambiwa kuwa unatakiwa Kulipa Mkopo ukiwa bado huna Ajira Ndugu? Na siamini kuwa Walimu wenye Shahada wanabaguliwa kihivyo.
 
Duuuhh hii sasa kali mkuu. Kumbe tatizo ni kufaulu sana?
 
Duuuhh hii sasa kali mkuu. Kumbe tatizo ni kufaulu sana?
Hahaa sifaham mkuu....

Ila fikiria mkuu ... ungekua umefaulu kawaida na ushindani ukawa mkubwa ukaona uanzie ngazi hizo za cheti na stashada ...probably ungekua umebahatika kwenye hizo chache zilizopita.

kufaulu Sana weee ,ukaenda kula boom hatimae ndo hayo ...

sio kwamba nafurahia ila ndo ukweli wenyewe ....😁
 
hauko sawa mkuna tofauti kubwa tu
Tofauti unayosema ni figures tu lakini in reality baada ya deductions TAKE HOME ya mwl mweye degree na diploma ni nearly the same..
 
Mbona jibu simple kabisa hapo, kwani hujui mwenye degree atatakiwa kulipwa mshahara mkubwa zaid ya mwenye cheti na diploma?
mshahara wa wenye degree watano, utakwenda kwa wenye cheti na diploma 50.

Ni hayo tu, maendeleo hayana chama

Mitano tena
Kama hujui vitu sio lazima uchangie Ni Bora upite kushoto .diploma na degree mishahara yao haipishan Sana hasa kwenye take home wote wanaambulia kwenye laki nne na points kadhaa ,utofaut wao Ni kwenye basic tu ambapo degree anaeanza Ni 716000 diploma 523000 Kama sijakosea Sana wakat chet basic ana 416000 Kama sijakosea pia so ukirud kwenye take home yule wa degree mishahara yao Ni Kama iko sawa maana Kuna utofaut mdogo Sana kulingana yule wa degree ana makato kibao ikiwepo loan board wakat diploma na chet Wana pishana Kama 90 elfu kwenye take home . Sasa hiyo hesab yako sijui umeitolea wap .
 
Kwani umeambiwa kuwa unatakiwa Kulipa Mkopo ukiwa bado huna Ajira Ndugu? Na siamini kuwa Walimu wenye Shahada wanabaguliwa kihivyo.
Bila ajira, pesa ya kuwalipa itatoka wapi mkuu?
 
Kibunda
 
Hata shule za walimu wa certificates na diplomas ni nyingi kuliko hao wa degrees. Pia kwa nini serikali ibebe mzigo mzito kwa kuajili wa degree akafundishe level ya yule wa diploma wakati huyo wa diploma yupo? Kuhusu kulipa mkopo HESLB usijali, huwezi kuanza kulipa wakati huna cha kulipa/huna ajila, relax. Don't cross the bridge before you reach it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…