Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

Mhhh, kwani hao wenye PHD wameifanya nini serikali ?
Serikali haitaki wasomi wazuri,Ili msiende kuwasumbua viongozi.
Inataka vilaza wenye Elimu ya kuunga unga,Ili iwaperekeshe kama bendela,
 
Serikali haitaki wasomi wazuri,Ili msiende kuwasumbua viongozi.
Inataka vilaza wenye Elimu ya kuunga unga,Ili iwaperekeshe kama bendela,
Lakini mbona enzi za jakaya halikuwepo hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…