Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

Km mtaala ndio.unataka na ukizingatia mtaala unaruhusu diploma afundishe mpaka form four na diploma ndio anaejenga msingi wa sekondari yaani form one na two na ikichukuliwa kuwa shule zenye uhaba zaidi ni za kata tena na shule za msingi tena nyingi zilizoko pembezoni ambao wanastafu kwa spidi kubwa na shahada wengi wana kimbia kupahama vijijini mara baada ya kupata ajira baasi basi diploma wanastahili kuajiliwa sana na cheti kuliko shahada.
Sio hisia ndivyo mtaala unavyotaka. Mwalimu mwenye shahada anafundisha kuanzia kidato cha tatu hadi cha sita, vyuo vya kati na vyuo vikuu kama tutorial assistant. Hivyo walimu wa diploma wanaofundisha kidato cha 3&4 ni kwa sababu ya emergency kwa shule ambazo zinakuwa na upungufu wa walimu wenye shahada.
 
Mkuu, saivi hakuna cha D1. Walimu wapya wameanzia kidato cha tatu cha ngazi ya mshahara (D3) ndio maana ya hilo ongezeko
Subir salary itoke ndio utakuwa na uhakika kamili,kuna halmashauri umesaini hyo D1, na kuna halmashaur wamesaini kama unavyosema.
 
Subir salary itoke ndio utakuwa na uhakika kamili,kuna halmashauri umesaini hyo D1, na kuna halmashaur wamesaini kama unavyosema.
Uhakika ni kidato cha tatu cha ngazi ya mshahara TGTS D3 Hiyo ni kwa mujibu wa waraka uliotolewa na utumishi mwaka jana.
 
Huenda ni mkakati wa kuwachelewesha kwa makusudi wapigwe penati + retention fee 6% ili siku mtu akiajiriwa akute deni lake la bodi ya mikopo limeongezeka abruptly......
 
Katika ufanis diploma anakuwa bora zaid kuliko wa degree

Diplo amejifunza kazi kwa vitendo zaid while degree yeye darasani sana nadharia nyingi
 
Katika ufanis diploma anakuwa bora zaid kuliko wa degree

Diplo amejifunza kazi kwa vitendo zaid while degree yeye darasani sana nadharia nyingi
Acha kuandika vitu kwa hisia wewe...

Ni ufanisi upi walionao walimu wenye diploma ambao wenye digrii hawana...??
 
Ntaandika kwa ufupi sanaa....Na washauri vijana walio soma bachelor degree za education katika masomo ya sanaa na za kufanana na izo.....

Hatua ya kwanza Ni Kukubali ukweli kua ajira Ni Nightmare....

Kuna watu Wana bahati Zao kweny maisha....yaan HAWAJAWAI ku haso......

Wapo wanao pata Ila WACHACHE
Kuna jamaa alisoma chuo Kikuu bagamoyo...

Kamaliza 2017, language na kiswahili kapata ajira huko muleba shule Moja ya secondary....

Ukisubiri ajira za ualimu utasononeka Sana utapata stress na depression juu.....

Ushauri kwa vijana acha kujilaumu assume kuanza upya....hii Ni sawa na umepata ufunguo alaf kitasa kikabadilishwa.......
 
Cha msingi Serikali ikiweza kurahisisha upatikanaji wa mitaji kwa riba ndogo.Wengine hata hawayatataka kurudi kwenye taaluma zao
 
Ntaandika kwa ufupi sanaa....Na washauri vijana walio soma bachelor degree za education katika masomo ya sanaa na za kufanana na izo.....

Hatua ya kwanza Ni Kukubali ukweli kua ajira Ni Nightmare....

Kuna watu Wana bahati Zao kweny maisha....yaan HAWAJAWAI ku haso......

Wapo wanao pata Ila WACHACHE
Kuna jamaa alisoma chuo Kikuu bagamoyo...

Kamaliza 2017, language na kiswahili kapata ajira huko muleba shule Moja ya secondary....

Ukisubiri ajira za ualimu utasononeka Sana utapata stress na depression juu.....

Ushauri kwa vijana acha kujilaumu assume kuanza upya....hii Ni sawa na umepata ufunguo alaf kitasa kikabadilishwa.......
Una assume vipi mkuu?

Toa way forward vijana tujifunze
 
Una assume vipi mkuu?

Toa way forward vijana tujifunze
Kuendelea kusubili ajira za ualimu wa sanaa utasononeka Sana....

Ndio maana nikasema kweny maisha Kuna muda assume kuanza upya....

Assume means: to think that something is true or probably true without knowing that it is true......

Nili ahidi Mwaka huu 2021 inshallah....mwishoni ntakamilisha ahadi yangu ya kuwa andalia VIJANA.... motivational speech.
 
Back
Top Bottom