Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Wataje na hao walio kwenye kundi lake, ili iwe rahisi kwa wakamataji. Lakini muwe tayari kuthibitisha tuhuma dhidi yao isije ikawa wana express mawazo au mitazamo yao tu, jambo ambalo ni haki kwao..
 
Yale magazeti yaliyoandika kuwa Mbowe na Mrema wa CHADEMA kuwa wamekufa kwa korona uliishauri nini serikali?
 
Halafu tunaomba utuorodheshee makosa yake tuyajue.
 
Pesa ni za walipa kodi, na kama anachofanya ni kinyume na sheria za nchi yetu nenda kapeleke kesi mahakamani.
Ukweli utajulikana tu. Huwezi kujifungua ndani mwezi mzima eti unapitia mafaili nyeti!
 
Na wewe akisema ukamatwe?
 
Sema anakuletea taharuki anawaletea wakinani?
 
Acha uzoba. Hela za ccm ziko wapi?
 
Hujielewi ueandika utumbo wako bika kufikiri. Serikali inatakia imkamate na kukshitaki yule mhuni anayevunja katiba na sheria za nchi
 
Alafu si nyie maccm mmesema baba yake Maria amekufa sasa hamuogopi hata mtu bado hajamaliza matanga..... Ng'ombe kabisa nyie majitu
 
Hivi wewe mtoa mada, unajielewa vizuri? Ukimfunga huyu bibie ,watainuka wengine zahidi yake Mara mia, aliekwambia kukosoa serikali, ni kosa nani? Na je inawezekanaje tz yenye mil 50, ya population kila mtu awe serikalin hasa kwenye vikao vya mahamuzi vya taifa Hili,.
Tz yetu wote ,hakuna mwenye hatimiliki, chambua ushauri mbalimbali kutoka KWA wadau,wenye tija chukua, ambao hauna tija hachana nao, kufunga watu sio suluhisho mkuu, tafakari na chukua hatua mkuu
 
Watu wanataka kujua mtumishi wao wanae mlishi, kumvalisha, kumnywesha kwa kodi zao yupo wapi? Isije kua anatafuna kodi tu halafu kazi hafanyi

Ni haki ya mwajiri kujua alipo mfanyakazi wake na anafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…