Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
HahahahaaUnayajua machafuko wewe? Yaan kuumwa aumwe Magu..sisi tupigane .kwan ana Uungu ndani yake
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaUnayajua machafuko wewe? Yaan kuumwa aumwe Magu..sisi tupigane .kwan ana Uungu ndani yake
watoto wa mjini atushikiwi akili na wachaga.Nyie ndio mnaoiharibu Sinza ya siku hizi ionekane haina tena Wajanja.
Njia nzuri na rahisi ya kumkomesha ni kuisafisha "nchi yenu" isichafuliwe; au huelewi mkuu?Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Sina haja ya kubishana na wewe maana naonekana nami ni narrow minded person. Nipo karibuniukitakiwa utapatikana tu, si unajifanyaga usalama wewe. unadanganya wajinga wenzio sasa utashughulikuwa ukiendelea..... yule demu wa umu wa kinodnoni ndio kakuuza hahaahhaahah
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Naona wewe umejiunga hapa JF tokea 2014, na pengine ulianza kuingia humu mapema hata kabla hujajisajiri.Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Wewe wasemaInakubalika ki katiba , siyo kosa kisheria kuikosoa serikali
Kwa hiyo unashikiwa akili na wasukuma??watoto wa mjini atushikiwi akili na wachaga.
tunajua maisha mazuri yanapatikanaje wanaweza kuwadanganya nyie oyaa oyaa
Wewe umeshindwa nini kuleta hata screenshot ya alichosema Maria??haya maswali ni ya kitoto sana majibu yake yote ingia page ya maria sarungi kibaraka wa wazungu.
Tuna tatizo Tanzania na mabulushi na mashombe. Ndiyo maana Katiba ya Warioba ilisema ili uwe Rais lazima uwe raia wa Tanzania wa kuzaliwa na wazazi wako wote wawe raia wa kuzaliwa.Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
wengine wana 'immunity' hawatakiwi wagusweMbona baba yake kazushiwa umauti na Cyprian Musiba na hajakamatwa?
raisi ndio nani na ikuru ndio wapi?Kama ni.haki yako kujua raisi alipo, umeenda ikuru kumuulizia wakakuzuia?
Una uhakika kasomeshwa kwa hela ya CCM au ndiyo mkipigika kimaisha mnajipendekeza kwa watawala mkifikiri ndiyo mtamaliza dhiki zenu.Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.