Z ZALEMDA JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 1,956 Reaction score 2,225 May 31, 2022 #1 Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 31, 2022 #2 Warioba alishakamilisha hiyo kazi
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Jun 14, 2022 #3 wakiziba comments za kudai katiba na kuruhusu comments zisizohitaji katiba utasemaje?