Kwanini Serikali isituwekee link au mfumo wa kimtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu Katiba Mpya

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
 
wakiziba comments za kudai katiba na kuruhusu comments zisizohitaji katiba utasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…