Tushakoma jamani, acheni kutufokeaMkome kukimbilia manabii na mitume, mkome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushakoma jamani, acheni kutufokeaMkome kukimbilia manabii na mitume, mkome
Hii sheria umesomea wapi ndugu yangu? soma hapa:Hakuna kosa hata moja linaloweza kumtia hatiani hapo ni kupoteza rasilimali za nchi kufuatilia mambo ya kijinga
Hakuna kosa kwenye jinai linaloitwa misrepresentation
Na hapo hakuna money launderung
Na hakuna kosa kwenye penal code la idanganyifu wa kuoombea watu, maana maombezi ni imani ,wote tunaomba kwa kuamini yule kisheria hana makosa, ni kama walivyo kina mwamposa na wengine ,sema labda kinachowauma kuwa anatoza hela nyingi, ila hakumlazimisha mtu ,wote wameenda kuombewa kwa hiari yao
Waumini ndio wana shida wakichapwa wataacha ujinga..!Kwakweli bila waumini wake kucharazwa viboko kwanza Tena hadharani sioni sababu ya huyo kiboko ya wachawi kukamatwa.
Wote wakristo kwa waislamu, kule mpk kina Mwajuma wapo wanatafuta watoto na ndoaWakristo ndio wajinga,usiingize wananchi wote,kwa ujinga wa dini moja ya kitapeli
Hizo dini za karne hii ni biasharaHuyo wa kawe naye ni shida nyingine,anawa tandika sana
Sema huyo chain yake ndefu na
Ana tag kubwa la wakubwa,sema siku yake itawadia tu
Ova
Hakuna fraud hapo mkuu wala misrepresentationHii sheria umesomea wapi ndugu yangu? soma hapa:
The Penal Code in Tanzania addresses a number of criminal offenses, including fraud and theft:
Fraud
Anyone who receives or possesses property with the intent to defraud, or who destroys, alters, or falsifies records, is guilty of a felony and could face up to 14 years in prison.
Theft by misrepresentation
Obtaining property or services from another person by means of misrepresentation with the intent to deprive them of that property or services.
Huyo mjinga hawezi kuachwa tu aendelee kutanua huko Kongo kisa ti DPP Wety yuko fofofo
Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwishoHizo dini za karne hii ni biashara
Wajanja wafanyeje sasa?ni kuokota mbugila moja moja na kulitandika kisawasawa kama alivyofanya Kiboko.Nchi imejaa mambugila
Ova
Kwani huyu jamaa kalalamika kutapeliwaKwani serikali ilimlazimisha Masha kutapeliwa mchana kweupe?
Ajabu hakuna aliyelalamika katapeliwa sasa hiyo kesi sijui shahidi atakuwa nani maana waliotoa hela hawana shida na mtu na wametoa kama sadaka sasa sisi huku nje tunaumia nini wakati ni maswala ya imani , ni very personal tusilazimishe tunachoamini sisi ndio sahihi tuwaache watu na imani zaoKwani huyu jamaa kalalamika kutapeliwa
😂😂😂😂 Ungemwambia akutoe ili umezee sasa!! Na usikute Gwaji boy huyoUnakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani 😄 ehh anaitwa mtume nabii 😄 alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
😄
Ova
Yuko mmoja kigamboni hata mbwa wakiwa kwenye kikao hawawezi kumruhusu ajiunge nao. Leo hii eti Ni mhubiri. Yule mbwa Koko sidhani Kama anajua idadi ya vitabu kwenye biblia.Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani 😄 ehh anaitwa mtume nabii 😄 alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
😄
Ova
😄Yuko mmoja kigamboni hata mbwa wakiwa kwenye kikao hawawezi kumruhusu ajiunge nao. Leo hii eti Ni mhubiri. Yule mbwa Koko sidhani Kama anajua idadi ya vitabu kwenye biblia.
Ukimuona mkeo au dadako kwa huyu mbwa, mcheki marinda kwanza maana jamaa na mavi Ni Kama uji na mgonjwa.
Unanijua unanisikia 😄😂😂😂😂 Ungemwambia akutoe ili umezee sasa!! Na usikute Gwaji boy huyo
Huyo sio mtume wala nabii.😂😂😂😂 Ungemwambia akutoe ili umezee sasa!! Na usikute Gwaji boy huyo
Kwahiyo ukamuharibia 🤣🤣🤣Unanijua unanisikia 😄
Nlimtoaaa Kama upepo
Ova