DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakuna kosa hata moja linaloweza kumtia hatiani hapo ni kupoteza rasilimali za nchi kufuatilia mambo ya kijinga
Hakuna kosa kwenye jinai linaloitwa misrepresentation
Na hapo hakuna money launderung
Na hakuna kosa kwenye penal code la idanganyifu wa kuoombea watu, maana maombezi ni imani ,wote tunaomba kwa kuamini yule kisheria hana makosa, ni kama walivyo kina mwamposa na wengine ,sema labda kinachowauma kuwa anatoza hela nyingi, ila hakumlazimisha mtu ,wote wameenda kuombewa kwa hiari yao
Hii sheria umesomea wapi ndugu yangu? soma hapa:
The Penal Code in Tanzania addresses a number of criminal offenses, including fraud and theft:
Fraud
Anyone who receives or possesses property with the intent to defraud, or who destroys, alters, or falsifies records, is guilty of a felony and could face up to 14 years in prison.

Theft by misrepresentation
Obtaining property or services from another person by means of misrepresentation with the intent to deprive them of that property or services.

Huyo mjinga hawezi kuachwa tu aendelee kutanua huko Kongo kisa tu DPP Wetu yuko fofofo

Soma hapa penal code au labda kama imekuwa updated: PENAL CODE - Laws of Tanzania pia hapa: https://www.un.org/depts/los/LEGISLATIONANDTREATIES/PDFFILES/TZA_penal_code.pdf
 
Hii sheria umesomea wapi ndugu yangu? soma hapa:
The Penal Code in Tanzania addresses a number of criminal offenses, including fraud and theft:
Fraud
Anyone who receives or possesses property with the intent to defraud, or who destroys, alters, or falsifies records, is guilty of a felony and could face up to 14 years in prison.

Theft by misrepresentation
Obtaining property or services from another person by means of misrepresentation with the intent to deprive them of that property or services.

Huyo mjinga hawezi kuachwa tu aendelee kutanua huko Kongo kisa ti DPP Wety yuko fofofo
Hakuna fraud hapo mkuu wala misrepresentation
Fraud hakuna kwasababu hakudanganya kitu chochote kwenye kanisa lake, hilo ni swala la imani kama unavyoenda roman catholic church na kuambiwa utoe fhngu la kumi na sadaka mbali mbali ili usamehewe zambi
Na yeye kama yeye hakumisrepresent kitu chochote kasema anachokiamini na wanaoamini maombezi yake wamelipa kwa imani hakuna kosa hapo na hakuna mahakama itakayoweza kumfunga kwa ama sivyo makanisa yote yafungwe maana anachofanya yeye kote kinafanyika ,sadaka kila sehemu zinaliwa tuache mihemuko
 
Hizo dini za karne hii ni biashara
Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani 😄 ehh anaitwa mtume nabii 😄 alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
😄

Ova
 
Kwani huyu jamaa kalalamika kutapeliwa
Ajabu hakuna aliyelalamika katapeliwa sasa hiyo kesi sijui shahidi atakuwa nani maana waliotoa hela hawana shida na mtu na wametoa kama sadaka sasa sisi huku nje tunaumia nini wakati ni maswala ya imani , ni very personal tusilazimishe tunachoamini sisi ndio sahihi tuwaache watu na imani zao
 
Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani 😄 ehh anaitwa mtume nabii 😄 alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
😄

Ova
😂😂😂😂 Ungemwambia akutoe ili umezee sasa!! Na usikute Gwaji boy huyo
 
Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani 😄 ehh anaitwa mtume nabii 😄 alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
😄

Ova
Yuko mmoja kigamboni hata mbwa wakiwa kwenye kikao hawawezi kumruhusu ajiunge nao. Leo hii eti Ni mhubiri. Yule mbwa Koko sidhani Kama anajua idadi ya vitabu kwenye biblia.
Ukimuona mkeo au dadako kwa huyu mbwa, mcheki marinda kwanza maana jamaa na mavi Ni Kama uji na mgonjwa.
 
Suala la utapeli kwenye mambo ya imani ni mgumu sana kuufanyia kazi kisheria. Nawaza tu. Hata wale kekundu na keusi wanachezaga hadharani watu wanapigwa na hawaendi shitaki na sometimes police wanajua kabisa..yani hapo usiyepitiwa na utapeli huo unabaki kujifunza..
 
Back
Top Bottom