Kwanini Serikali ya CCM huwa haileti mrejesho juu ya tuhuma mbalimbali licha ya kusema wanafutilia

Kwanini Serikali ya CCM huwa haileti mrejesho juu ya tuhuma mbalimbali licha ya kusema wanafutilia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano.

1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko.
2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma.

3. Madini ya ruby Dubai.
4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka tanzania..

Mambo ni ambayo tunasubiri majibu yake mpaka leo .
Bila watz kujielewa kila siku tutaendelea kupigwa.

Na CCM wakitaka kupitisha agenda zao wanatengeza propaganda mfano

1. DP world ilisainiwa samabamba na uteuzi wa makonda.
2. Chongolo amejiuzuku sambamba na kupandisha nauli za masafa marefu na mafupi.

Hiyo mdo akili ya CCM wadanganyika amkeni au endeleeni na kushangilia simba na yanga zenu nchi inatafunwa hii
 
Wewe ukituhumiwa kuwa unatembea na na rafiki yake na unajua fika unahusika unawezajiteteaje?
 
Back
Top Bottom