Pre GE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..kuruhusu maandamano.

..hajaruhusu mabadiliko madogo ya katiba yatakayomuengua kuteua tume ya uchaguzi.
Halafu ieleweke kuwa hatukuwa tukiomba Ruhusa ya kuandamana.

Pressure ya kudai HAKI ndiyo iliyowarudisha nyumba wazuia maandamano.

Na ieleweke pia kuwa Tume HURU ya UCHAGUZI inayodaiwa, ni Ile iliyo ndani ya Rasimu ya Warioba ambayo ndiyo yenye matakwa ya wananchi.
 
Haya maandamano yamejikita kwenye sheria za uchaguzi tu, suala la katiba limefukiwa.
Nadhani hujaelewa CDM wanachosimamia kuhusu Tume HURU ya UCHAGUZI.

Rudi kasikize alichoongea Mnyika nje ya bunge wakati alipozuiwa Kutoa maoni ya CHADEMA kuhusu muswada ulioletwa kujadiliwa,

Rudia taratibu utaelewa. CHADEMA wako vizuri.

Wananchi tusio na vyama, tunatumia platform ya CHADEMA na maandamano waliyoitisha kuinua HOJA zetu pia,

KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote ikiwamo.
 
Halafu ieleweke kuwa hatukuwa tukiomba Ruhusa ya kuandamana.

Pressure ya kudai HAKI ndiyo iliyowarudisha nyumba wazuia maandamano.

Na ieleweke pia kuwa Tume HURU ya UCHAGUZI inayodaiwa, ni Ile iliyo ndani ya Rasimu ya Warioba ambayo ndiyo yenye matakwa ya wananchi.

..nasikia tume huru iko hata ktk katiba pendekezwa ya Samuel sitta na Samia suluhu. Inashangaza kwanini Ccm hawaitaki.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya.
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Agenda B ni nzito zaidi
 
Wamegundua ni wapiga kelele na watafuta kiki kwa matukil hasa wakipewa attention

🔹 Walikuwa wanapiga kelele mikutano ya hadhara mikutano wskaruhusiwa Sasa hivi hakuna anayefanya mkutano hata mmoja hiyo kiki imeisha

🔹 Hili la maandamano hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha shughuli zake kwenda kuzurura mitaani kwa miguu wakati mapapa wapo kwenye magari. Wataandamana kesho kwa uchache maana wamesafirishana kwa magari ila watamezwa na mji mkubwa hivyo kiki Yao haitaonekana na hawawezi kurudia tena
 
Katika dunia ya leo, siasa za maandamano ni siasa za kijinga. Ni u-harakati usikuwa na effect yoyote kisiasa. Ni afadhali kuwe na spontaneous maandamano ya wananchi wa itikadi mbalimbali kuliko hayo ya kuandaliwa na chama kimoja cha upinzani.
Wananchi gani hao unaowazungumzia wa kuaandaa maandamano?

au wale wanaoenda kwenye mikutano ya makonda na kutoa malalamiko ya kufiwa na waume zao.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya.
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Umeandika mengi sana na kati yake ni sawa lkn umekwepa kusema jambo Moja ambalo ni kubwa.

Sababu haswa ya serikali ya mama yetu kukubali kuruhusu haya maandamano ni hivi.

Mh Mbowe kabla ya kutangaza nia ya kuandaa maandamano alihakikisha kuwa amezunguka kwa WAHISANI WOTE MUHIMU WA SERIKALI YA CCM NA KUWAELEZA WAZO LAKE NAO WAKALIKUBALI KWA 100%.

Na serikali ya ccm ikajulishwa na hao wakubwa juu ya hilo maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Hivyo hakukuwa na alternative yoyote ya kukwepa Hilo ombi.
 
Hiyo 1b imetupiwa tu kujikosha ila lengo kuu la maandamano ni 1a. It seems CCM wanalijua hilo vizuri.

Na kwa kuwa ajenda namba 1a imekaa kisiasa, basi tegemea hayo maandamano yaungwe mkono na Wanachadema zaidi kuliko Watanzania wote wakiwemo wa CCM.

Hayo maandamano yangekuwa ya Kitaifa zaidi kama Ajenda kuu ingekuwa katiba mpya!
Inawezekana hii post kaitupia ZZK maana nyie ACT mna chuki sana na CDM
 
Hayo maandamano ni ya watu wasiokuwa na kazi ? Kwa ambao ni wafanyakazi je wataomba ruhusa kwa waajiri ile waende maandamano mchana huo?
 
Back
Top Bottom