Pre GE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..kuruhusu maandamano.

..hajaruhusu mabadiliko madogo ya katiba yatakayomuengua kuteua tume ya uchaguzi.
Halafu ieleweke kuwa hatukuwa tukiomba Ruhusa ya kuandamana.

Pressure ya kudai HAKI ndiyo iliyowarudisha nyumba wazuia maandamano.

Na ieleweke pia kuwa Tume HURU ya UCHAGUZI inayodaiwa, ni Ile iliyo ndani ya Rasimu ya Warioba ambayo ndiyo yenye matakwa ya wananchi.
 
Haya maandamano yamejikita kwenye sheria za uchaguzi tu, suala la katiba limefukiwa.
Nadhani hujaelewa CDM wanachosimamia kuhusu Tume HURU ya UCHAGUZI.

Rudi kasikize alichoongea Mnyika nje ya bunge wakati alipozuiwa Kutoa maoni ya CHADEMA kuhusu muswada ulioletwa kujadiliwa,

Rudia taratibu utaelewa. CHADEMA wako vizuri.

Wananchi tusio na vyama, tunatumia platform ya CHADEMA na maandamano waliyoitisha kuinua HOJA zetu pia,

KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote ikiwamo.
 
2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.
Hebu rudia kusoma tena, umejitahidi ila kinachopingwa ni muswada WA Katiba,...
 

..nasikia tume huru iko hata ktk katiba pendekezwa ya Samuel sitta na Samia suluhu. Inashangaza kwanini Ccm hawaitaki.
 
Agenda B ni nzito zaidi
 
..nasikia tume huru iko hata ktk katiba pendekezwa ya Samuel sitta na Samia suluhu. Inashangaza kwanini Ccm hawaitaki.
HAKI haiombwi, inadaiwa.

CCM walazimishwe, wananchi tujitokeze kudai Tume HURU ya UCHAGUZI, watasikia na kufuata tukitakacho.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
 
Wamegundua ni wapiga kelele na watafuta kiki kwa matukil hasa wakipewa attention

🔹 Walikuwa wanapiga kelele mikutano ya hadhara mikutano wskaruhusiwa Sasa hivi hakuna anayefanya mkutano hata mmoja hiyo kiki imeisha

🔹 Hili la maandamano hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha shughuli zake kwenda kuzurura mitaani kwa miguu wakati mapapa wapo kwenye magari. Wataandamana kesho kwa uchache maana wamesafirishana kwa magari ila watamezwa na mji mkubwa hivyo kiki Yao haitaonekana na hawawezi kurudia tena
 
Katika dunia ya leo, siasa za maandamano ni siasa za kijinga. Ni u-harakati usikuwa na effect yoyote kisiasa. Ni afadhali kuwe na spontaneous maandamano ya wananchi wa itikadi mbalimbali kuliko hayo ya kuandaliwa na chama kimoja cha upinzani.
Wananchi gani hao unaowazungumzia wa kuaandaa maandamano?

au wale wanaoenda kwenye mikutano ya makonda na kutoa malalamiko ya kufiwa na waume zao.
 
Umeandika mengi sana na kati yake ni sawa lkn umekwepa kusema jambo Moja ambalo ni kubwa.

Sababu haswa ya serikali ya mama yetu kukubali kuruhusu haya maandamano ni hivi.

Mh Mbowe kabla ya kutangaza nia ya kuandaa maandamano alihakikisha kuwa amezunguka kwa WAHISANI WOTE MUHIMU WA SERIKALI YA CCM NA KUWAELEZA WAZO LAKE NAO WAKALIKUBALI KWA 100%.

Na serikali ya ccm ikajulishwa na hao wakubwa juu ya hilo maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Hivyo hakukuwa na alternative yoyote ya kukwepa Hilo ombi.
 
Inawezekana hii post kaitupia ZZK maana nyie ACT mna chuki sana na CDM
 
Hayo maandamano ni ya watu wasiokuwa na kazi ? Kwa ambao ni wafanyakazi je wataomba ruhusa kwa waajiri ile waende maandamano mchana huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…