Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

Sasa ndio ujibu swali kwanini hajibiwi?
Kazi ya serikali ni kushughulikia majority sio mtu mmoja mmoja

Tanzania ina watu milioni 60 ikitaka ku.jibu mmoja mmoja kila anachoongea itakuwa ujinga ntupu

Ndio maana amepuuzwa
 
Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina amekuwa akiishambulia kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6)lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Najaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Luhaga kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango Cha Juu sana kwenye medani za siasa.

Nashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hoja hizi nzito za Luhaga kwa wakati huku mtaani hali sio nzuri sana hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki.

Kila mmoja amjibu Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kukabiliana nao, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, Ajibiwe na diwani na Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu,

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Ameshapuuzwa yule hana hoja za maana zaidi ya wivu wa kukosa uwaziri. Kuna siku Mwigulu alimjibu akapotea kabisa. Mwigulu baada ya kumuona ni mweupe ameamua kuachana naye
 
Kazi ya serikali ni kushughulikia majority sio mtu mmoja mmoja

Tanzania ina watu milioni 60 ikitaka ku.jibu mmoja mmoja kila anachoongea itakuwa ujinga ntupu

Ndio maana amepuuzwa
Nahisi hufahamu Siasa kabisa wewe, anapuuzwaje mtu aliyefanya pressure conference ya Live?
 
Ameshapuuzwa yule hana hoja za maana zaidi ya wivu wa kukosa uwaziri. Kuna siku Mwigulu alimjibu akapotea kabisa. Mwigulu baada ya kumuona ni mweupe ameamua kuachana naye
Ajibiwa wivu unaujua wewe tu
 
Naye Kafulila kamjibu kibinafs na kimbembele chake sio kama msemaji wa serikali
Uongo hauhitaji Itifaki ili kujibiwa Mimi nampongeza Kafulila Yuko active sana lakini Waziri mwenye dhamani yeye pia ajitokeze
 
Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina amekuwa akiishambulia kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6)lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Najaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Luhaga kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango Cha Juu sana kwenye medani za siasa.

Nashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hoja hizi nzito za Luhaga kwa wakati huku mtaani hali sio nzuri sana hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki.

Kila mmoja amjibu Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kukabiliana nao, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, Ajibiwe na diwani na Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu,

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Ukiacha Kafulila nani mwingine kamjibu?
Je kajibiwa kwa ushahidi ama amejibiwa kama vile ambavyo Trump kagundua misaada inavyo walemaza waafrika kutotumia akili na nguvu zao kutotatua matatizo yao wenyewe pia matumizi mabaya ya hiyo misaada kama vyandaluwa kufugia kuku na kuvulia samaki

Kutegemea kukopa ni kujisababishia uwezo wa kufikiri uwe mdogo, binadamu akipata changamoto huamsha ubongo na anapofanya hivyo hukutana na ubunifu

Uncertainty, (yasiyotarajiwa), husababishwa na taarifa,(information), majanga na binadamu

1. Kuhusu taarifa kama uwezo wako wa kutafsiri taarifa ni mdogo itakusabishia changamoto
2. Majanga huwezi kuchomoka huwa inategemea uwezo wako wa kukabiliana nayo yapo ya Kimungi na yakibinadamu
3. Binadamu hujisabishia changamoto kwa ujinga, uzembe, uvivu, ulevi, ushamba, wivu, upumbavu pia binadamu huyo huyo huwasabishia wengine changamoto kwa makusudi ama kwa bahati mbaya

Hitimisho kuna binadamu wengine hufurahia wenzao wakipata changamoto, (pessimistic people),
 
Onyesha uongo wake kwa kumjibu na hoja za kuonyesha uongo wake, serikali imekaa kimya sababu haina majibu
Labda mwehu atahangaika kujibizana na Mpina. Watanzania wana akili, yule bwana amechanganyikiwa. Mbn hujiulizi vile vi kesi vyake vimeishia wapi. Yule amepuuzwa kwa ujumla wake
 
Je kajibiwa kwa ushahidi ama amejibiwa kama vile ambavyo Trump kagundua misaada inavyo walemaza waafrika kutotumia akili na nguvu zao kutotatua matatizo yao wenyewe pia matumizi mabaya ya hiyo misaada kama vyandaluwa kufugia kuku na kuvulia samaki
Pamoja na majibu mazuri ya Kafulila tunataka pia majibu ya Waziri wa fedha kwa faida ya kisiasa
 
Ukimya wa viongozi wa Serikali kuhusu tuhuma zinazotolewa na wabunge kama Luhaga Mpina unaweza kuwa na athari kadhaa za kimataifa. Hapa kuna baadhi ya athari hizo:

1. Imani ya Wawekezaji: Kimya hiki kinaweza kuathiri uaminifu wa wawekezaji wa kigeni. Wakati wawekezaji wanatazama nchi zinazoweza kuwekeza, ukosefu wa majibu kuhusu tuhuma za ufisadi au utendaji mbovu unaweza kuwafanya wajiangalie upya kabla ya kuwekeza.

2. Suhula za Kibiashara: Ikiwa Serikali inashindwa kujibu tuhuma hizo, inaweza kuathiri ushirikiano wa kibiashara na mataifa mengine. Nchi zinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wa mazingira ya biashara nchini.

3. Msaada wa Kimataifa: Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa yanaweza kuangalia hali ya kisiasa na kiuchumi ya nchi kabla ya kutoa msaada. Ukimya huu unaweza kupelekea kupunguza msaada kutoka nje.

4. Sera za Kigeni: Nchi nyingine zinaweza kuhamasika kuingilia kati au kutoa maoni kuhusu hali ya kisiasa nchini, hasa kama kuna tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu au ufisadi.

5. Reputation ya Nchi: Ukimya wa viongozi unaweza kuathiri sifa ya nchi katika medani ya kimataifa. Nchi inaweza kutazamiwa kama isiyo na uwazi au yenye matatizo ya kisiasa, jambo ambalo linaweza kuathiri ushirikiano wa kidiplomasia.

6. Mitandao ya Kijamii na Habari: Habari za kimataifa zinaweza kuandika kuhusu hali hiyo, na kupelekea kuongezeka kwa shinikizo la kimataifa juu ya Serikali. Hali hii inaweza kuathiri mtazamo wa umma kuhusu nchi hiyo.

Kwa ujumla, ukimya wa viongozi wa Serikali unaweza kuwa na athari kubwa si tu ndani ya nchi bali pia katika uhusiano wa kimataifa na maendeleo ya kiuchumi.
 
MPINA ANAFANYA RESEARCH NA ANAO USHAHIDI WA KUTOSHA, KWA HIVYO HAOGOPI. NI VIGUMU KUUPINGA UKWELI ULIO NA USHAHIDI, WAKIJARIBU WATAJIABISHA. SAKATA SUKARI AKIWASHINDA NA AKIPIGAKA KWENDA MAHAKAMANI AKAZIMWA NA BOSI WA BASHE AMBAYE SIO RAISI. MPINA ANAPATA DATA ZOTE VIZURI, LAKINI NAYE KAIFANYA BIASHARA
 
Back
Top Bottom