Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

Uongo hauhitaji Itifaki ili kujibiwa Mimi nampongeza Kafulila Yuko active sana lakini Waziri mwenye dhamani yeye pia ajitokeze
Vitu vingine awaachie wenye eneo lao wakikaa kimya wana sababu zao
Aheshimu maeneo ya watu wengine awe active eneo lake.

Kudandia dandia maeneo ya watu waweza wenyewe wasipende kabisa au wakawa wenyewe walikuwa wakijianda kutoa official statement yeye keshakurupuka.Lengo lake la kukurupuka kujibu maeneo ya watu wengine ni kutaka kuwadhalisha mbele ya Raisi aliowateua kuwa wao hawajui kazi yeye ndie anajua kazi za maeneo hayo? Au nini? Nadhani hili la kudakia dakia maeneo ya watu litamtengenezea maadui .Wahusika hujua na kuamua wachukue hatua gani wajibu,wanyamaze au wafantaje Hayo huwa ni ya huko ndani kwa ndani kunakohusika ambako Kafulila sio sehemu ya huko.ndani .Hivyo hawezi nini kinaendelea

Kafulila Ahangaike na eneo lake alilopewa kusimamia huko kwenye PPP.Huko kwingine achie wenyewe ndio maana ya specialisation na division of labour kwenye serikali

Kafulila kuna uzi kichwani hauko.sawa
 
Ukimya wa viongozi wa Serikali kuhusu tuhuma zinazotolewa na wabunge kama Luhaga Mpina unaweza kuwa na athari kadhaa za kimataifa. Hapa kuna baadhi ya athari hizo:

1. Imani ya Wawekezaji: Kimya hiki kinaweza kuathiri uaminifu wa wawekezaji wa kigeni. Wakati wawekezaji wanatazama nchi zinazoweza kuwekeza, ukosefu wa majibu kuhusu tuhuma za ufisadi au utendaji mbovu unaweza kuwafanya wajiangalie upya kabla ya kuwekeza.

2. Suhula za Kibiashara: Ikiwa Serikali inashindwa kujibu tuhuma hizo, inaweza kuathiri ushirikiano wa kibiashara na mataifa mengine. Nchi zinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wa mazingira ya biashara nchini.

3. Msaada wa Kimataifa: Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa yanaweza kuangalia hali ya kisiasa na kiuchumi ya nchi kabla ya kutoa msaada. Ukimya huu unaweza kupelekea kupunguza msaada kutoka nje.

4. Sera za Kigeni: Nchi nyingine zinaweza kuhamasika kuingilia kati au kutoa maoni kuhusu hali ya kisiasa nchini, hasa kama kuna tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu au ufisadi.

5. Reputation ya Nchi: Ukimya wa viongozi unaweza kuathiri sifa ya nchi katika medani ya kimataifa. Nchi inaweza kutazamiwa kama isiyo na uwazi au yenye matatizo ya kisiasa, jambo ambalo linaweza kuathiri ushirikiano wa kidiplomasia.

6. Mitandao ya Kijamii na Habari: Habari za kimataifa zinaweza kuandika kuhusu hali hiyo, na kupelekea kuongezeka kwa shinikizo la kimataifa juu ya Serikali. Hali hii inaweza kuathiri mtazamo wa umma kuhusu nchi hiyo.

Kwa ujumla, ukimya wa viongozi wa Serikali unaweza kuwa na athari kubwa si tu ndani ya nchi bali pia katika uhusiano wa kimataifa na maendeleo ya kiuchumi.
Hayo Ndiyo madhara ya kuongoza kwa kutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa , kama alivyo tanabaisha Luhanga Mphina.

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki) a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, kwasasa uchawa
 
Vitu vingine awaachie wenye eneo lao wakikaa kimya wana sababu zao
Aheshimu maeneo ya watu wengine awe active eneo lake.

Kudandia dandia maeneo ya watu waweza wenyewe wasipende kabisa au wakawa wenyewe walikuwa wakijianda kutoa official statement yeye keshakurupuka.Lengo lake la kukurupuka kujibu maeneo ya watu wengine ni kutaka kuwadhalisha mbele ya Raisi aliowateua kuwa wao hawajui kazi yeye ndie anajua kazi za maeneo hayo? Au nini? Nadhani hili la kudakia dakia maeneo ya watu litamtengenezea maadui .Wahusika hujua na kuamua wachukue hatua gani wajibu,wanyamaze au wafantaje Hayo huwa ni ya huko ndani kwa ndani kunakohusika ambako Kafulila sio sehemu ya huko.ndani .Hivyo hawezi nini kinaendelea

Kafulila Ahangaike na eneo lake alilopewa kusimamia huko kwenye PPP.Huko kwingine achie wenyewe ndio maana ya specialisation na division of labour kwenye serikali

Kafulila kuna uzi kichwani hauko.sawa

Tatizo la CCM yetu ndio hilo, Sasa ni muda gani tangu Luhaga katoa hizo tuhuma mbona mko kimya?

Hata anayesaidia kujibu mnamwona mbaya kweli watu Wana nia ya kumwangusha huyu mama
 
Tatizo la CCM yetu ndio hilo, Sasa ni muda gani tangu Luhaga katoa hizo tuhuma mbona mko kimya?

Hata anayesaidia kujibu mnamwona mbaya kweli watu Wana nia ya kumwangusha huyu mama
Tumezoea majibu ya mipasho yanatosha, majibu Kwa njia ya mipasho huwa ya mkato, lia yanahitaji akili kubwa kutafsiri
 
Vitu vingine awaachie wenye eneo lao wakikaa kimya wana sababu zao
Aheshimu maeneo ya watu wengine awe active eneo lake.

Kudandia dandia maeneo ya watu waweza wenyewe wasipende kabisa au wakawa wenyewe walikuwa wakijianda kutoa official statement yeye keshakurupuka.Lengo lake la kukurupuka kujibu maeneo ya watu wengine ni kutaka kuwadhalisha mbele ya Raisi aliowateua kuwa wao hawajui kazi yeye ndie anajua kazi za maeneo hayo? Au nini? Nadhani hili la kudakia dakia maeneo ya watu litamtengenezea maadui .Wahusika hujua na kuamua wachukue hatua gani wajibu,wanyamaze au wafantaje Hayo huwa ni ya huko ndani kwa ndani kunakohusika ambako Kafulila sio sehemu ya huko.ndani .Hivyo hawezi nini kinaendelea

Kafulila Ahangaike na eneo lake alilopewa kusimamia huko kwenye PPP.Huko kwingine achie wenyewe ndio maana ya specialisation na division of labour kwenye serikali

Kafulila kuna uzi kichwani hauko.sawa
Hapana, Kafulila alichokifanya kimesaidia sana kupunguza tension ya hoja za Mpina kwa Raia,

Hata hivyo Kafulila hakumjibu Mpina in public ila alimwandikia tu comment fupi kwenye group la Whatsapp akimtagi hiyo clip yake ili kumwangalisha.

Kama ni tatizo basi ni letu sisi machawa kuleta hiyo comment huku in public,

Na ndio maana majibu yake yalikuwa ya jumla jumla sana,

Kafulila sifa yake kuu kila anachoandika ni madini tupu,

Haya ya kuonesha kwa Rais wengine hawawezi hiyo ni hoja ya Kijinga Kwakuwa Serikali ya Samia inafanya kazi kama team,

Mtu mwenye majibu halafu anakaa kimya Rais aendelee kutukanwa na Mpina kisa yeye sio Msemaji huyo ni mbaya kuliko Ubaya wenyewe,

Nampongeza sana Kafulila amekuwa kiungo muhimu sana katika kujibu hoja tatanishi kwa masilahi ya nchi na Rais Samia.

Ni mjinga na mwenye nia ovu pekee atachukizwa na comment ya Kafulila kwa Mpina,

===
 
Hahahahahaha huyu Mpina enzi ya Jiwe alitupa mchakamchaka saaana, samaki ili umle lazma apimwe kwa rula urefu wake, wavuvi walichomewa saaana nyavu zao na vyombo vya uvuvi vilitaifishwa mnooo, mpaka gari iwe dagaa au samaki ilikutana na kashkash
 
Mtoa mada uko serious kweli? Unataka mama atumie rungu kuua sisimizi?!!!! Mpina ni sisimizi tu mbele ya Samia, chuki zake zimeonekana kitaaambo sana hivyo Kila anachokisema na kukiropoka kilitegemewa na wanakijua na ameshadharauliwa tayari. Kafulila amemjibu kidogo tu bila kutumia nguvu kubwa na tayari kwa jibu lake hilo upungufu wa akili kwa huyo mpina wenu umeshaonekana.
Wakitaka watamjibu vizuri tu hater huyo sema wameamua kumpuuza kwakuwa Hana athari kwa Sasa mshamba huyo.
 
Kafulila amecomment tu sio kumjibu huyu anahitaji kujibiwa
 
Unajibuje vioja vya mtu aliyechanganyikiwa kwa mfano? Waangalie kina Medard Kalemani wametulia, yule mshamba wa kisukuma amewehuka baada ya kukosa uwaziri. Kwl ni jinga. Vile ni vioja hakuna hoja pale ndio maana amepuuzwa tu. Ht mahakamani wsmefuta vikesi vyake vile vyote. Anajiaibisha anafanya mambo ya kitoto
Form four kama ulijitahidi sana ulipata Four .
 
Mtoa mada uko serious kweli? Unataka mama atumie rungu kuua sisimizi?!!!! Mpina ni sisimizi tu mbele ya Samia, chuki zake zimeonekana kitaaambo sana hivyo Kila anachokisema na kukiropoka kilitegemewa na wanakijua na ameshadharauliwa tayari. Kafulila amemjibu kidogo tu bila kutumia nguvu kubwa na tayari kwa jibu lake hilo upungufu wa akili kwa huyo mpina wenu umeshaonekana.
Wakitaka watamjibu vizuri tu hater huyo sema wameamua kumpuuza kwakuwa Hana athari kwa Sasa mshamba huyo.
JF Ina Watu wajinga sana na wenye Uelewa mdogoo .

Umemsikiliza MPINA na kumwelewa?

ALAFU kwann CCM watu wajinga mnauelewa wa kufanana ...

Utasikia..

Kwan tunakopa tununue nguo za harusi?.
Tundu Lissu ni Kibaka.
MPINA ana chuki.

Hivi vichwan vyenu mnamatope ???

Daahh Sijui kwann nilizaliwa Tanzania yenye mijinga mijinga namna hii.

MPINA Kaongelea mauala makubwa na mazito, kaanzia madini mpaka Kilimo, wafanyakazi Mpaka Viongozi, hamna Mahali ambapo hajagusa.

ALAFU únakuta Jinga kama wewe hata Ujasikiliza Wala kusoma alichokisema MPINA.
 
Hata Lucas Mwashambwa yuko kimya kweli? Haoni jinsi Mpina anavyoibubujisha Jasho hii serikali?
Mwashambwa amekuja na gazeti lililobeba kichwa Cha habari chenye maudhui kwamba Mpina ana ukabila na chuki binafsi na bimkubwa wale!
Badala ya kujibu zile hoja na kuetablish facts anasema ni ukabila. Huyu si mpumbavu kuliko huyo aliyeamua kukaa kimya?
 
Kafulila amecomment tu sio kumjibu huyu anahitaji kujibiwa
Maelezo yenye viashiria vya chuki na upendeleo yanahitaji comment tu wakati mwingine......Wala hakuna haja ya kutumia muda mwiiiingi kumjibu mtu mwenye mission yake flani inayoeweka a.k.a iliyo wazi.
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inyoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Mhe Luhaga Mpina kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango cha Juu sana kwenye medani za siasa hasa Ukanda maziwa maku ya Victoria na Tanganyika.

Huenda nikashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hizi hoja hizi nzito za Luhaga Mpina tena kwa wakati ukweli ni kwamba huku mtaani hali sio nzuri sana hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki Cha kumpuuza mtu mwenye hadhi ya Ubunge tena toka Chama tawala.

Nashauri kila mmoja amjibu Mhe Luhaga Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kukabiliana nao, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, ajibiwe na diwani au Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu sahihi kwani kukaa kimya ni kumaanisha hoja za Mpina ni za kweli na ni ukweli tupu.

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Badala ya kujibu hoja zake mnaanza kuweweseka.

📌Wananchi wenyewe wanataka ukweli zama hizi PROPAGANDA hazina nafasi!!!
 
Back
Top Bottom