Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

JF Ina Watu wajinga sana na wenye Uelewa mdogoo .

Umemsikiliza MPINA na kumwelewa?

ALAFU kwann CCM watu wajinga mnauelewa wa kufanana ...

Utasikia..

Kwan tunakopa tununue nguo za harusi?.
Tundu Lissu ni Kibaka.
MPINA ana chuki.

Hivi vichwan vyenu mnamatope ???

Daahh Sijui kwann nilizaliwa Tanzania yenye mijinga mijinga namna hii.

MPINA Kaongelea mauala makubwa na mazito, kaanzia madini mpaka Kilimo, wafanyakazi Mpaka Viongozi, hamna Mahali ambapo hajagusa.

ALAFU únakuta Jinga kama wewe hata Ujasikiliza Wala kusoma alichokisema MPINA.
Hela ya pedi umeachiwa lkn dada?!!! Mbona kama hasira zote unanishushia Mimi?!!
Hivi Wakiongea wengine mnawasikiliza kwa uelekeo mmoja pia kama mpina?!!!
 
Imeshambuliwa haswa.
acha tu niache uniache
No reform No erection
 
Labda mwehu atahangaika kujibizana na Mpina. Watanzania wana akili, yule bwana amechanganyikiwa. Mbn hujiulizi vile vi kesi vyake vimeishia wapi. Yule amepuuzwa kwa ujumla wake
Mafisadi lazima watamuona Mpina kachanganyikiwa, maana hata saa mbovu wakati mwingine inasema kweli. Jibu hoja zake hujawashikia akili watanzania
 
Chadema mkikosea kumteua Mpina kugombea Urais,mtakuwa mmekosea!
Mwanza,Mara, Kagera, Geita, Katavi,Simiyu, Tabora, Dodoma,Mbeya, Arusha ,Dar, Shinyanga, Kigoma, Morogoro , Kilimanjaro,yote ni mikoa ya kuzoa kura za kutosha za Mpina.
 
Unajibuje vioja vya mtu aliyechanganyikiwa kwa mfano? Waangalie kina Medard Kalemani wametulia, yule mshamba wa kisukuma amewehuka baada ya kukosa uwaziri. Kwl ni jinga. Vile ni vioja hakuna hoja pale ndio maana amepuuzwa tu. Ht mahakamani wsmefuta vikesi vyake vile vyote. Anajiaibisha anafanya mambo ya kitoto
Mahakama zipi, hizi alizosema Rostam?
 
Chadema mkikosea kumteua Mpina kugombea Urais,mtakuwa mmekosea!
Mwanza,Mara, Kagera, Geita, Katavi,Simiyu, Tabora, Dodoma,Mbeya, Arusha ,Dar, Shinyanga, Kigoma, Morogoro , Kilimanjaro,yote ni mikoa ya kuzoa kura za kutosha za Mpina.
Kwani Mpina ni CHADEMA?
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Mhe Luhaga Mpina kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango cha Juu sana kwenye medani za siasa hasa Ukanda wa maziwa maku ya Victoria na Tanganyika.

Huenda nikashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hizi hoja nzito za Mhe Luhaga Mpina tena kwa wakati ukweli ni kwamba huku mtaani hali sio nzuri sana kwa Upande wetu hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki cha kumpuuza mtu mwenye hadhi ya Ubunge tena toka Chama tawala.

Nashauri kila mmoja amjibu Mhe Luhaga Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kuukabili, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, ajibiwe na diwani au Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu sahihi kwani kukaa kimya ni kumaanisha hoja za Mpina ni za kweli na ni ukweli tupu.

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Mpina ajibiwe kwa ukweli bila hiana
 
Ccm imepoteza mvuto miaka mingi iliyopita. Ndiyo maana chaguzi zimejaa rushwa na ukiukwaji wa katiba.
 
Kafulila anatumia Imani yake kwa Wananchi vibaya, ni Kweli yeye ni kinara wa kupinga Ufisadi kwanini asimuunge mkono Mpina kama kweli anamaanisha?
Mpina yeye hana Ushahidi pili Kafulila ni sehemu ya serikalini so tusitegee Kafulila kuungana na Mpina hata kama ana hoja
 
Vitu vingine awaachie wenye eneo lao wakikaa kimya wana sababu zao
Aheshimu maeneo ya watu wengine awe active eneo lake.

Kudandia dandia maeneo ya watu waweza wenyewe wasipende kabisa au wakawa wenyewe walikuwa wakijianda kutoa official statement yeye keshakurupuka.Lengo lake la kukurupuka kujibu maeneo ya watu wengine ni kutaka kuwadhalisha mbele ya Raisi aliowateua kuwa wao hawajui kazi yeye ndie anajua kazi za maeneo hayo? Au nini? Nadhani hili la kudakia dakia maeneo ya watu litamtengenezea maadui .Wahusika hujua na kuamua wachukue hatua gani wajibu,wanyamaze au wafantaje Hayo huwa ni ya huko ndani kwa ndani kunakohusika ambako Kafulila sio sehemu ya huko.ndani .Hivyo hawezi nini kinaendelea

Kafulila Ahangaike na eneo lake alilopewa kusimamia huko kwenye PPP.Huko kwingine achie wenyewe ndio maana ya specialisation na division of labour kwenye serikali

Kafulila kuna uzi kichwani hauko.sawa
Wewe inaonekana Kafulila alikula mke wako sio Bure
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Mhe Luhaga Mpina kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango cha Juu sana kwenye medani za siasa hasa Ukanda wa maziwa maku ya Victoria na Tanganyika.

Huenda nikashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hizi hoja nzito za Mhe Luhaga Mpina tena kwa wakati ukweli ni kwamba huku mtaani hali sio nzuri sana kwa Upande wetu hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki cha kumpuuza mtu mwenye hadhi ya Ubunge tena toka Chama tawala.

Nashauri kila mmoja amjibu Mhe Luhaga Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kuukabili, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, ajibiwe na diwani au Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu sahihi kwani kukaa kimya ni kumaanisha hoja za Mpina ni za kweli na ni ukweli tupu.

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Ukisikiliza hotuba aliyoitoa ya masaa 7 ikiwa imejaa utafiti wa kina ni ngumu sana hawa mawaziri mzigo kuweza kujibu mawaziri ambao hata majukumu yao hawawezi kuyasimamia sikiliza haya masaa 7 uniambie kwa mawaziri tulionao ni nani anaweza kujibu hizi hoja?

View: https://www.youtube.com/live/rwIdf9x54HE?si=ZxVGrZ7FPZ1wtahR

View: https://youtu.be/f2ToHWYXUrA?si=IxiQ9m5tPQKtdZeE
 
Kazi ya serikali ni kushughulikia majority sio mtu mmoja mmoja

Tanzania ina watu milioni 60 ikitaka ku.jibu mmoja mmoja kila anachoongea itakuwa ujinga ntupu

Ndio maana amepuuzwa
Huna akili kabisa wewe
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.

Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua hoja za Mhe Luhaga Mpina kama zilivyo basi CCM itakuwa imepoteza Ufuasi wa kiwango cha Juu sana kwenye medani za siasa hasa Ukanda wa maziwa maku ya Victoria na Tanganyika.

Huenda nikashindwa kuandika sawa sawa ila itoshe tu kusema Wateule msaidieni Rais kujibu hizi hoja nzito za Mhe Luhaga Mpina tena kwa wakati ukweli ni kwamba huku mtaani hali sio nzuri sana kwa Upande wetu hivyo hatuna haja ya kujiamini kiasi hiki cha kumpuuza mtu mwenye hadhi ya Ubunge tena toka Chama tawala.

Nashauri kila mmoja amjibu Mhe Luhaga Mpina Kwakuwa Uongo hauhitaji Itifaki kuukabili, Mpina ajibiwe na Balozi wa nyumba kumi, ajibiwe na diwani au Mbunge aijibiwe na kila mmoja mwenye majibu sahihi kwani kukaa kimya ni kumaanisha hoja za Mpina ni za kweli na ni ukweli tupu.

Pia soma
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

- Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Sawa cde naona Luhaga anaelekea CHADEMA
 
Back
Top Bottom