Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

Hela ya pedi umeachiwa lkn dada?!!! Mbona kama hasira zote unanishushia Mimi?!!
Hivi Wakiongea wengine mnawasikiliza kwa uelekeo mmoja pia kama mpina?!!!
 
Imeshambuliwa haswa.
acha tu niache uniache
No reform No erection
 
Labda mwehu atahangaika kujibizana na Mpina. Watanzania wana akili, yule bwana amechanganyikiwa. Mbn hujiulizi vile vi kesi vyake vimeishia wapi. Yule amepuuzwa kwa ujumla wake
Mafisadi lazima watamuona Mpina kachanganyikiwa, maana hata saa mbovu wakati mwingine inasema kweli. Jibu hoja zake hujawashikia akili watanzania
 
Chadema mkikosea kumteua Mpina kugombea Urais,mtakuwa mmekosea!
Mwanza,Mara, Kagera, Geita, Katavi,Simiyu, Tabora, Dodoma,Mbeya, Arusha ,Dar, Shinyanga, Kigoma, Morogoro , Kilimanjaro,yote ni mikoa ya kuzoa kura za kutosha za Mpina.
 
Mahakama zipi, hizi alizosema Rostam?
 
Chadema mkikosea kumteua Mpina kugombea Urais,mtakuwa mmekosea!
Mwanza,Mara, Kagera, Geita, Katavi,Simiyu, Tabora, Dodoma,Mbeya, Arusha ,Dar, Shinyanga, Kigoma, Morogoro , Kilimanjaro,yote ni mikoa ya kuzoa kura za kutosha za Mpina.
Kwani Mpina ni CHADEMA?
 
Mpina ajibiwe kwa ukweli bila hiana
 
Ccm imepoteza mvuto miaka mingi iliyopita. Ndiyo maana chaguzi zimejaa rushwa na ukiukwaji wa katiba.
 
Kafulila anatumia Imani yake kwa Wananchi vibaya, ni Kweli yeye ni kinara wa kupinga Ufisadi kwanini asimuunge mkono Mpina kama kweli anamaanisha?
Mpina yeye hana Ushahidi pili Kafulila ni sehemu ya serikalini so tusitegee Kafulila kuungana na Mpina hata kama ana hoja
 
Wewe inaonekana Kafulila alikula mke wako sio Bure
 
Ukisikiliza hotuba aliyoitoa ya masaa 7 ikiwa imejaa utafiti wa kina ni ngumu sana hawa mawaziri mzigo kuweza kujibu mawaziri ambao hata majukumu yao hawawezi kuyasimamia sikiliza haya masaa 7 uniambie kwa mawaziri tulionao ni nani anaweza kujibu hizi hoja?


View: https://www.youtube.com/live/rwIdf9x54HE?si=ZxVGrZ7FPZ1wtahR

View: https://youtu.be/f2ToHWYXUrA?si=IxiQ9m5tPQKtdZeE
 
Kazi ya serikali ni kushughulikia majority sio mtu mmoja mmoja

Tanzania ina watu milioni 60 ikitaka ku.jibu mmoja mmoja kila anachoongea itakuwa ujinga ntupu

Ndio maana amepuuzwa
Huna akili kabisa wewe
 
Sawa cde naona Luhaga anaelekea CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…