Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitaki wafanane na watoto wao, wanatengeneza tabaka tawaliwaHili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla?
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu na nje ya nchi yetu ?
Hivi ni kweli hawaoni tofauti kati ya mtoto aliyetumia lugha ya kiswahili darasa la kwanza Hadi darasa la saba na mtoto aliyesoma English medium pale watoto hawa wanapokutana kidato Cha kwanza?
Kwani mawaziri. Makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wakurugenzi mbali mbali wanawasomesha watoto wao EM badala ya Kayamba wakati wao ndio waliotunga na kuisimamia sera ya kuwa kiswahili ndio iwe lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi ?
Hapa Kuna Siri iliyokificha nyuma ya pazia watanzania amkeni
Kwa sababu nakumbuka kipindi hakuna EM za private serikali walikuwa na za kwao Kwa hapa Dar ni Olympiyo na Bunge na kipindi hicho asilimia 90 ya waliosoma hizi shule walikuwa ni watoto wa mawaziri na viongizi wengine
Kwahiyo sio kama hawajui umuhimu wa lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe kingereza ila tu wanawapumbaza watanzania walio wenge kuwa eti watoto wao kutumia kiswahili shule za awali na msingi ndio kudumisha uzalendo
Una hoja kubwa.Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu

DawaJiulize wachina wanatima kichina warisi kirusi wajerumani warussia usiwe mtumwa wa lugha ya kikoloni
Huna uwezo wa kutengeneza mfumo hata mmoja halafu unasema unajiweza?
Nani kakudanganya kwamba wachina wanatumia kichina pekee?Jiulize wachina wanatima kichina warisi kirusi wajerumani warussia usiwe mtumwa wa lugha ya kikoloni
wewe kama mimi aisee. tumetoka kayumba kufika seco na viswahili vyetu bana tumeķuta kuna maticha akìingia class ni full kinge mwanzo mwisho. tulikuwa tunatoka kapa. tuliishia kuwachukia sana wale walimu.Ninakumbuka nilipokwenda form one nilipata shida sana.
Na ndio maana walimu wa lugha ya kiswahili wanaofundisha nchi za Ulaya na Asia 90% ni wakenyaNinakumbuka nilipokwenda form one nilipata shida sana. anyway hapa mwalimu alikosea sana. Hii pia imesababisha kuwa na diaspora wachache sana ukilinganisha na nchi kama Kenya, Zimbabwe na ziginezo. Inakuwa ngumu sana tunapokuwa nje kuzungumza kiingereza fasha.
Nimepewa hilo jina.., sio rahisi kulibadilisha. Ila lugha ni yetu, na tutaendelea kuifumisha..Kwanini ID yako unajiita Francis badala ya kichogo? au mbulumundu?
Kama kwl wewe hutaki utumwa Kwa watu weupe..
Kujifunza English ni muhimu Sn Kwa dunia ya Sasa.
Hilo jina sio uhalisia wako,,badili ID weka mbulumundu ect.Nimepewa hilo jina.., sio rahisi kulibadilisha. Ila lugha ni yetu, na tutaendelea kuifumisha..
Sio jina langu hilo sasa..Hilo jina sio uhalisia wako,,badili ID weka mbulumundu ect.
Hizo nchi zimeendekea kuliko sisi Tanzania kinachotubeba ni bandari tuNakubaliana na wewe kingereza kitiliwe mkazo hili isiwe lugha ya maajabu kama ilivyo Sasa...
Leo hii ukipigiwa simu kwenye daladala halafu ukapokea kisha ukaanza kuongeza kingereza watu wanakushangaa sana, Sasa hii Hali tuifute.
Ila hapo unaposema eti hili tuendelee tunahitaji kingereza huko ni kujidanganya, maana hata Sasa hivi tumezungukwa na nchi ambazo kingereza ni lugha wanayotumia mara Kwa mara lakini Bado ni maskini zaidi yetu.. i.e Zambia na Uganda