Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Documents za ikulu lugha ni kingerezaMuzei Nyerere aliwahigi kusema "Umasikini wa Fikra" ndio Umasikini mukubwa.
Mwenye ana fikra za kutawaliwa na Lugha za mzungu ni "Masikini" wa fikra.
Ni Umasikini wa Fikra huu
#bigot
Documents za ofisi ya waziri mkuu lugha ni kingereza
Documents za wizara zote lugha ni kingereza
Documents za mahakama zetu lugha ni kingereza
Documents za TRA lugha ni kingereza
Documents za bunge lugha ni kingereza
Tayari sisi ni masikini wa fikira Sasa ni Bora tungechagua Moja kama ni kingereza au kiswahili kuliko hivi tunavyoyumba yumba ndio tunazidi kujitia upumbavu