Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

Muzei Nyerere aliwahigi kusema "Umasikini wa Fikra" ndio Umasikini mukubwa.

Mwenye ana fikra za kutawaliwa na Lugha za mzungu ni "Masikini" wa fikra.

Ni Umasikini wa Fikra huu

#bigot
Documents za ikulu lugha ni kingereza
Documents za ofisi ya waziri mkuu lugha ni kingereza
Documents za wizara zote lugha ni kingereza
Documents za mahakama zetu lugha ni kingereza
Documents za TRA lugha ni kingereza
Documents za bunge lugha ni kingereza

Tayari sisi ni masikini wa fikira Sasa ni Bora tungechagua Moja kama ni kingereza au kiswahili kuliko hivi tunavyoyumba yumba ndio tunazidi kujitia upumbavu
 
Hizo nchi zimeendekea kuliko sisi Tanzania kinachotubeba ni bandari tu

Kama ingekuwa inawezekana sisi watanzania na serikali yetu tungehamia Uganda alafu wao waganda na serikali yao wahamemie aridhi ya Tanzania amini usiamini wangetiacha mbali sana
Kwamba Zambia na Uganda wameendelea kuliko sisi????

Aisee umetumia vigezo Gani kuja na hii conclusion mzee?

Na pia kuhusu Bandari, hata Zambia Wana rasimali nyingi sana kama copper na graphites, lakini hadi kutengeneza uwanja tu wa michezo ule Levy mwanawasa wenye thamani ya $40m tu wamekopa Hela Kwa mchina, na mpaka Sasa bado wanadaiwa...!! Kwa hiyo Nini kinakuaminisha wangekuwa na bandari ingeleta utofauti?

Halafu hapa mada inahusu kingereza kuwa na mchango wa maendeleo ya taifa...!! Kwa hiyo Kwa mantiki yako hao wazambia na waganda kinachowafanya kuwa na maendeleo duni ni kutokuwa na bandari na sio kingereza Tena?
 
Documents za ikulu lugha ni kingereza
Documents za ofisi ya waziri mkuu lugha ni kingereza
Documents za wizara zote lugha ni kingereza
Documents za mahakama zetu lugha ni kingereza
Documents za TRA lugha ni kingereza
Documents za bunge lugha ni kingereza

Tayari sisi ni masikini wa fikira Sasa ni Bora tungechagua Moja kama ni kingereza au kiswahili kuliko hivi tunavyoyumba yumba ndio tunazidi kujitia upumbavu
Unajua ni lugha gani/zinazotumiwa na ni Official Serikalini?

****

Marekani, Uingereza, Canada na kwinginee ukitaka Document kutoka serikalini, unaulizwa kama unahitaji ukalimani au kwa lugha nyepesi, kama 'unahitaji chapisho liwe kwenye lugha gani?' mpaka Kikongo yetu imo humo.

Nyie bila ya kutumia hizo bongo zenu, tena kwa makusudi kuutafuta ukweli mnakuja na na mada isiyo na Mashiko. Hebu tumbie batanzani, ni sheria gani inayo "Lazimisha" lugha ya kufundisha iwe Kiswahili tu? HAMJUI
IST wanafundisha kiswahili? Kama jibu ni hapana huo Ulazimishaji wa kutumia lugha ya kiswaaa unatokea wapi?

Hoja senu hazina mashiko.
 
Wewe ni mtanzania au ni mucongo maana sielewi ulicho andiko
 
Back
Top Bottom