Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
Kitaalamu na kiroho ni sawa na meza ya Bwana, kwa wakristo wanaoshiriki hiyo ibada wanaelewa vizuri.

Tendo la ndoa ni ibada kamili na ndo maana endapo unashiriki na hauko ndani ya ndoa tegemea uharibifu tu..

Ile ni show ya nafsi na nafsi zaidi na ndo maana ule wakati milango ya kuzama rohoni inakuwa imefunguliwa kwa ukubwa sana.

Usishangae watu wakati wa tendo wakawa wanafanya maombi.

Naomba niishie hapa furahia mke wa ujana wako Mkuu. 😁😁
 
Kitaalamu na kiroho ni sawa na meza ya Bwana, kwa wakristo wanaoshiriki hiyo ibada wanaelewa vizuri.

Tendo la ndoa ni ibada kamili na ndo maana endapo unashiriki na hauko ndani ya ndoa tegemea uharibifu tu..

Ile ni show ya nafsi na nafsi zaidi na ndo maana ule wakati milango ya kuzama rohoni inakuwa imefunguliwa kwa ukubwa sana.

Usishangae watu wakati wa tendo wakawa wanafanya maombi.

Naomba niishie hapa furahia mke wa ujana wako Mkuu..
Sio kweli mbona watu wanafanya ngono nje ya ndoa na wanaprosper...
 
Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
Ila kwa sie wazinzi inakuwa vice versa yaani ukishakula mzigo tuu unamuona mwanamke kama likinyago flani...uzuri wote unapotea...hapo sijui kinatokeaga nini
 
Mume wangu mpole mpaka anakera !!!!! Muda mwingine namtibua tu anakereka then nampa kitu roho inapenda...... Yani siku hiyo nimemmnunisha akiingia tu ndani nampeleka sehemu asiyoitarajia hata kwenye banda la kuku akitaka kuongea nishafungua zipu kinachofata anajua tukimaliza anaishia kusema punguza mdomo!!!!!! Oooops nimelewa.
 
Back
Top Bottom