Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo.

Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
 
Kipozeo sio Sheikh ni mchumia tumbo tu

Watu wasiojitambua ndio wanaweza kukaa na kumsikiliza

Wengi wao huwa wanapenda tu vichekeshovichekesho na huyo kipozeo ni comedian
 
unataka kusema wenzake ni mgogo na hananja?
 
Sheikh Hillary Kipozeo ni maarufu siku zote, usijaribu kumchafua
Ni memchafua wapi ?Nauliza kwa nini anajulikana sana ikifka kipindi cha hiyo miezi
 
Huyo jamaa amepoteza heshima kwa tamaa za umaarufu uchwara. Nilikuwa namkubali sana.
 
Back
Top Bottom