Ukaijaze nchi yenye njaa.Ni order ya kupunguza idadi ya watu duniani. Hii order inapingana na "zaeni muongezeke mkaijaze nchi"
Wengine humu hatujui tabia za watu wa humu tunajibiana hoja tu kumbe kunae mpaka wasagajiMuulize Culture Me atakujibu maana yeye ni lesbian hapa JF
Huenda Mungu amefanya update ya dhambi za kwenda motoni na kubakiza ushoga.Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha ushoga kwenye sheria zake
Ushoga unahalishwa wa kisingizio cha haki za binadamu lgbtq rights, kwa mtu mwenye akili timamu anaefatilia mitandao atagundua hii dhambi inafosiwa sana kuingizwa kwenye akili zetu ili ionekane kama ni jambo la kawaida.
Sijajua aim ya shetani kwenye hilo ni nini
Zanzibar ni taifa kubwa, mbona ushoga umeshamiri kule?Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha ushoga kwenye sheria zake
Ushoga unahalishwa wa kisingizio cha haki za binadamu lgbtq rights, kwa mtu mwenye akili timamu anaefatilia mitandao atagundua hii dhambi inafosiwa sana kuingizwa kwenye akili zetu ili ionekane kama ni jambo la kawaida.
Sijajua aim ya shetani kwenye hilo ni nini
Sasa hilo jambo linapromotiwa na shetani au watu kwa maslahi yao binafsi??
Amewatuma lini??Amemtaja shetani, sababu yeye ndo amewatuma hao watu as his agents..
Amewatuma lini??
Hizo ni hekaya tu,Mitihani huwa inachuja walioelewa na wasioelewa...