Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

Kwenye uislam muhimu ni matumizi ya akili na sio hizo akili zenyewe,
Example:-
1.Kwenye hati ya muungano Nyerere msomi wa Makerere alisainj Mali za bara zitakia za Zanzibar pia ,huku Karume msomi wa madrasa akiweka Saini ya dole gumba,kua Mali za Zanzibar ni Zanzibar TUπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
2.Venezuela ina wakatoliki 90%,Saudi Arabia ina waislam 90%,Venezeule inaongoza Kwa reserve kubwa ya mafuta duniani,ila maendeleo ya Saudi Arabia ni mara 1000 ya maendeleo ya VenezuelaπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜„
We muisharam kweli,unashindwa kuelewa kuwa saudia bila USA ingekuwa ni chaka la magaidi.

Hayo mafuta bila kuvumbuliwa na mzungu waarabu wangekua bado wanachambia mchanga.

Venezuera kakataa sera za magharibi kawekewa vikwazo kila kona unatagemea atauzia wapi mafuta.

Kobazi acha ujinga.
 
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182 waliotoka kwenye shule za Kanisa, asilimia 97.72 walipata daraja la kwanza hadi la tatu, huku asilimia 0.04 pekee wakipata daraja la sifuri.

Kwa upande mwingine, shule za Kiislamu hazijajitokeza kwa wingi katika nafasi za juu za ufaulu. Hali hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mingi, na inazua maswali: Kwa nini shule za Kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa? Je, tatizo ni mfumo wa elimu, usimamizi, au kuna mambo mengine yanayochangia hali hii?

TATIZO LIKO WAPI?

Uchambuzi wa hali ya shule za Kiislamu unaonesha changamoto mbalimbali zinazoweza kuwa sababu ya matokeo yasiyoridhisha.

1. Changamoto ya Usimamizi

Shule nyingi za Kiislamu huanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya kidini pamoja na elimu ya kawaida. Hata hivyo, usimamizi wa shule hizi mara nyingi haupo kwenye mfumo thabiti kama ule wa shule za Kanisa, ambazo zinakuwa chini ya taasisi zilizo na uzoefu wa miaka mingi katika uendeshaji wa taasisi za elimu.

Shule nyingi za Kanisa zinamilikiwa na majimbo ya Kanisa Katoliki, ambayo yana mtandao mpana wa usimamizi, huku bodi za shule zikiwa na utaratibu wa kufuatilia mwenendo wa kila taasisi. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mara nyingi usimamizi wake hutegemea watu binafsi au taasisi zisizo na mfumo madhubuti wa ufuatiliaji wa maendeleo ya shule na walimu.

2. Mchanganyiko wa Mtaala

Shule za Kiislamu zina jukumu la kufundisha masomo ya dini pamoja na masomo ya mtaala wa serikali. Wanafunzi hutumia muda mwingi kwenye masomo ya dini, jambo ambalo linaweza kupunguza muda wao wa kujifunza masomo ya kawaida.

Kwa mfano, shule za Kanisa zinazingatia mfumo wa mtaala wa serikali kwa ukamilifu, huku masomo ya dini yakiwa sehemu ya malezi badala ya kuwa sehemu kubwa ya ratiba ya shule. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mgawanyo wa muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida unaweza kuathiri maandalizi ya wanafunzi kwa mitihani ya taifa.

3. Ukosefu wa Walimu Bora

Moja ya sababu kubwa zinazochangia ufaulu wa shule za Kanisa ni uwekezaji mkubwa katika walimu wenye sifa na uzoefu. Shule hizi huwalipa walimu vizuri, huwapa mafunzo ya mara kwa mara, na kuhakikisha mazingira mazuri ya kufundisha.

Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, changamoto ya bajeti inasababisha walimu wengi wasilipwe vizuri au kutokuwa na mafunzo ya mara kwa mara ya kuongeza ufanisi wa ufundishaji. Hii inapelekea shule kukosa walimu wenye weledi wa kutosha kuandaa wanafunzi kwa ushindani wa kitaifa.

4. Miundombinu Duni

Shule za Kanisa zinahakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia, ikiwa ni pamoja na maabara bora, maktaba za kisasa, na vifaa vya kujifunzia vya kutosha. Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, ukosefu wa rasilimali hizi ni changamoto kubwa, jambo ambalo linaweza kuathiri viwango vya ufaulu.

5. Motisha kwa Wanafunzi

Katika shule za Kanisa, kuna utamaduni wa kushindanisha wanafunzi na kuwatia motisha kupitia zawadi na mfumo wa kutambua juhudi zao. Wanafunzi wanahamasishwa kushiriki katika mashindano ya kitaaluma na kupewa mwongozo wa karibu na walimu wao.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, motisha kama hizi hazionekani kupewa kipaumbele kwa kiwango kikubwa. Hali hii inawafanya wanafunzi wengi wasikazane katika masomo ya kawaida kwa bidii ile ile inayoshuhudiwa katika shule za Kanisa.

NINI KIFANYIKE KUBORESHA UFAULU WA SHULE ZA KIISLAMU?

Ili shule za Kiislamu zifanye vizuri zaidi katika mitihani ya taifa na kushindana na shule za Kanisa, yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi:

1. Kuimarisha Usimamizi
Shule za Kiislamu zinahitaji kuwa na mfumo thabiti wa usimamizi, kwa mfano, kuanzisha bodi za uendeshaji zitakazowajibika kufuatilia maendeleo ya shule na kuhakikisha viwango bora vya elimu vinazingatiwa.

2. Kuboreshwa kwa Mtaala
Badala ya kugawanya muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida kwa namna inayoweza kuathiri ufaulu, shule zinapaswa kuhakikisha kuwa ratiba ya masomo inatilia mkazo maandalizi ya mitihani ya taifa huku masomo ya dini yakipangwa kwa namna isiyozuia maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.

3. Uwekezaji Katika Walimu
Shule za Kiislamu zinapaswa kuweka kipaumbele katika kuajiri na kuwahifadhi walimu wenye sifa bora kwa kuhakikisha wanapewa mishahara mizuri na mafunzo ya mara kwa mara ili kuboresha mbinu zao za ufundishaji.

4. Kuboresha Miundombinu
Kama ambavyo shule za Kanisa zinawekeza katika maabara, maktaba na vifaa vya kujifunzia, shule za Kiislamu zinapaswa kufanya vivyo hivyo ili kuwapa wanafunzi mazingira bora ya kujifunzia.

5. Motisha kwa Wanafunzi
Ni muhimu kwa shule za Kiislamu kuanzisha utaratibu wa kuwatia moyo wanafunzi kupitia tuzo kwa wale wanaofanya vizuri, programu za mashindano ya kitaaluma, na kuweka mifumo ya kuhamasisha bidii darasani.

HITIMISHO

Matokeo ya mwaka 2024 yanaendelea kuonyesha kuwa shule za Kanisa zinafanya vizuri zaidi katika mitihani ya taifa kwa sababu ya mifumo yao imara ya usimamizi, uwekezaji katika walimu, miundombinu bora, na mtazamo wa elimu kama sehemu ya maendeleo ya jamii.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, kuna changamoto zinazohitaji kushughulikiwa ili kufanikisha matokeo bora. Ikiwa usimamizi utaimarishwa, walimu bora wataajiriwa, miundombinu itaboreshwa, na wanafunzi watapewa motisha ya kutosha, kuna uwezekano mkubwa wa kuona shule hizi zikifanya vizuri na kushindana kwa karibu na shule zinazoongoza nchini.
Wanawaza jihad.
. Shule nyingi za kiislamu wanafundisha karate.
 
Kwasababu nyerere alikataa wasianzishe chuo kikuu mwaka 1968 chini ya EAMSW....
Hii ni kwa mujibu wa Mzee mohamed saidi
 
Mleta mada ni mchinganishi .
Kwa nini uminganishe shule za kiislam na shule za kikatoliki ?

Kuna ulinganifu gani kati ya nuru na giza ?

Kwa nini usilinganishe kati ya Shule za kikatoliki na shule za madhehebu Mengine ?
Au shule za Wasabato na shule za madhehebu Mengine?

Huoni kuwa hata madhehebu Mengine ya kikristo shule zao hazifanyi vizuri kama za kikatoliki?

Huoni kuwa kabla ya uhuru Kanisa la wanglicana na Lutherani yalikua na shule nyingi kuliko kanisa la Kikatoliki na zilifanya vizuri .Baada ya uhuru Anglicana na Lutherani shule zao zikaporwa na serikali . Wale wazungu waliokua wanasimamia zile shule wakarudi kwao na makanisa hayo yakajikuta yamepewa viongozi Makada wa CCM ili kuwapumbaza kama ilivyo Bakwata .
Shule chache sana za RC ndizo zilizotaifishwa . Madhehebu Mengine ikiwemo Uislam wakaanza upya kujenga shule baada ya Mfumo wa vyama vingi kuingia ndio maana Mkapa akirudisha baadhi ya shule. Kwa hiyo madhehebu Mengine ya Kikristo ukiwemo Uislam walikosa uzoefu wa kuendesha shule za private.

Wingi wa shule za kikatoliki ulifanya ziweze kugawanywa kimkakati na kwa malengo maalumu .

Madhebu mengine yana shule nyingi mchanganyiko wa wavulana na wasichana jambo linaloshusha sana ufaulu kutokana na umri wa kuanzia Form 3 wanafunzi wanaanza kwa na mabadiliko ya kimwili na kitabia hivyo kama hakuna uangalizi mzuri wanapoteza dira ya kusama kwa bidii.

Tulinganishe kwanza shule za Kikristo katika madhebu yake na zile za Kanisa la Kirumi . Lakini Uislama na ukatoliki ni kuwaonea . Uslama umeingia Afrika Mashariki tangu karne ya 9 lakini hapakuwa na Taasisi inayoitwa shule ya Sayansi au ya Kilimo au Sanaa .Wala chuo cha ualimu au cha ufundi au cha udaktari au unesi au uongozi au siasa au mifugo .
Kwa karne zaidi ya kumi tangu Uislam uingie Afrika mashariki palikua na Nyumba za ibadi maarufu kama misikiti ambayo ilitoa elimu ya kukariri Korani tu. Na hapakuwa na mitihani katika mfumo maalumu wa kitaifa .

Mwanga wa Elimu uliletwa na Ukristo kuanzia karne ya kumi na tisa .

Yaani kwa sasa Elimu rasmi ya dunia hapa Afrika mashariki haina muda wa zaidi ya miaka 160 .Wale wanaoudharau Ukristo kuwa haukuleta ukombozi Afrika hawajui chochote zaidi ya chuki .
Dini za asili na dini ya Kiislam pamoja na Kihindi zipo Afrika mashariki kwa muda mrefu lakini hazikuweza kujenga mifumo rasmi ya elimu . Jambo lililosababisha ukanda huu kubaki nyuma sana.
 
Kwenye uislam muhimu ni matumizi ya akili na sio hizo akili zenyewe,
Example:-
1.Kwenye hati ya muungano Nyerere msomi wa Makerere alisainj Mali za bara zitakia za Zanzibar pia ,huku Karume msomi wa madrasa akiweka Saini ya dole gumba,kua Mali za Zanzibar ni Zanzibar TUπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
2.Venezuela ina wakatoliki 90%,Saudi Arabia ina waislam 90%,Venezeule inaongoza Kwa reserve kubwa ya mafuta duniani,ila maendeleo ya Saudi Arabia ni mara 1000 ya maendeleo ya VenezuelaπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜„
Saudi Arabia kafika alipofika kwa sababu ya USA, mambo ya petro dollar na kulindwa amekuwa akilindwa na USA kwa hiyo hakuna matumizi yoyote akili ya kiislam iiyochangia hayo maendeleo ya Saudia.
 
..Saudi, ni Wajanja wame procure expertise na technology kwa christians (the west), na Yuko protected na makafiri USA and it's allies😁
Ndio nachozungumzia kuwatumia wapumbavu kuwa tajiri sio kosa kwenye uislam,na hii Karume aliitumia vizuri sana ama haujui kua Mali za Tanzania bara ni za zanzibar pia,ila Mali za Zanzibar kwenye waislam 99% ni Zanzibar pekeeπŸ˜ƒπŸ˜„
 
Samia sio mtawala halisi ni rais wa mpito hakuna angeweza kumchagua
1.Wewe ni mkristo?
2.wewe ni msomi kuliko waislam?
3.Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano ni nani?,tunavoongea sasa?
4.Je wewe ndio msomi?,πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜
Ndio maana Karume alikua hajui kusoma na kuandika ila akatia dole gumba hati ya muungano kuamali za Tanganyika ni za wote ila za Zanzibar zisivuke maji,kwa akili ya usomi wenu munaojisifiaπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„
 
Saudi Arabia kafika alipofika kwa sababu ya USA, mambo ya petro dollar na kulindwa amekuwa akilindwa na USA kwa hiyo hakuna matumizi yoyote akili ya kiislam iiyochangia hayo maendeleo ya Saudia.
Upo sahihi hata Iran,Iraq,united Arab Emirates,Libya, Morocco,Bahrain etc...........nchi zote zil zimefika pale sababu ya U.S.AπŸ˜€πŸ˜πŸ˜€πŸ˜πŸ˜†
Enhe mbona Angola,Zambia,D.R.C,Namibia kwenye wakatoliti 90% enheπŸ˜†,wamefika pale sababu ya VATICAN?πŸ˜πŸ˜†
 
Kwa sababu kule wanasoma vitu vingi ukijumuisha na dini. Huku upande wa pili wanaabudu hadi picha ya mzungu kwenye dini yao wapo sifuri.
Mara nyingi ukimkuta muislamu yupo vizuri amehifadhi Qur'an by default lazima upande mwingine wapo vizuri.
1.Nawaambia hao wapumbavu,uislam sio kuabudu picha na kuwela masanamu nyumbani kwako huku ukituma sadaka ziende ziliwe Vatican
2.Uislam ni mfumo mzima wa maisha ya kila siku kuanzia ndoa,watoto,Mali etc
3.Ni ngumu sana kukuta waislam wanagombani mali,ama kugombania watoto sijui hakuna kuachana,......huo upumbavu haupo
-------Na hii ndio sababu nchi za kiislam ni matajiri sana,sababu uislam umeweka wazi mukiwa na mali kwenye jamii yenu munaitumia vipi Ili Kila mt afaidike,
Huku hakuna kumchangi Padri Land cruiser huku mazombi viatu vimechanika wanawahi misa ya 2πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ€£
 
1.Wewe ni mkristo?
2.wewe ni msomi kuliko waislam?
3.Rai wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano ni nani?,tunavoonga sasa?
4.Je wewe ndio msomi?,πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜
Ndio maana Karume alikua hajui kusoma na kuandika ila akatia dole gumba hati ya muungano kuamali za Tanganyika ni za wote ila za Zanzibar zisivuke maji,kwa akili ya usomi wenu munaojisifiaπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„
Mkuuu samia hatuelewi anakotupeleka wana nufaika wachache, rushwa imetamalaki kila kona, ajira zimekuwa ngum, mtu anaongozwa na machawa hana maamuzi. Unaleta u zanzibar tu hapa tunazungumzia swala la kitaifa wewe unaleta ukabila
 
1.Nawaambia hao wapumbavu,uislam sio kuabudu picha na kuwela masanamu nyumbani kwako huku ukituma sadaka ziende ziliwe Vatican
2.Uislam ni mfumo mzima wa maisha ya kila siku kuanzia ndoa,watoto,Mali etc
3.Ni ngumu sana kukuta waislam wanagombani mali,ama kugombania watoto sijui hakuna kuachana,......huo upumbavu haupo
-------Na hii ndio sababu nchi za kiislam ni matajiri sana,sababu uislam umeweka wazi mukiwa na mali kwenye jamii yenu munaitumia vipi Ili Kila mt afaidike,
Huku hakuna kumchangi Padri Land cruiser huku mazombi viatu vimechanika wanawahi misa ya 2πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ€£
Shule za kiislam kwanza zifungwe shule zinakazana kufundisha ugaidi tu
 
Kwa hoja yako hii basi Pemba na Unguja yangekuwa ni maeneo yenye GDP kubwa zaidi Tanzania. Ila uko kuna wilaya zinaingia top 5 ya wilaya zisizo na vyoo Tanzania, wanaongoza kwa kunya vichakani.
Ina maana wewe hujui kua hapa Tanzania eneo Pele lenye watu chini ya 2M na lina GDP kubwa ni Zanzibar?πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜†................
1.GDP ya Zanzibar ni 10TrillionTsh,sema eneo lenye watu 2M ndani ya united republic of Tanzania lina hio GDP?
2.Je wewe sio Msomi wa Kikristo?πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜ƒ
3.Je unauhakika wewe sio mpumbavu?
4.Congo,D.R.C 90% ni wakataloki,unajua Kwa nini,Wana Mali nyingi kuliko Algeria yenye waislam 90%,ila D.R.C ni masikini mara 1000 ya Algeria?πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†
 
Attachments

  • Screenshot_20250211-181114.png
    Screenshot_20250211-181114.png
    133.4 KB · Views: 1
Ina maana wewe hujui kua hapa Tanzania eneo Pele lenye watu chini ya 2M na lina GDP kubwa ni Zanzibar?πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜†................
1.GDP ya Zanzibar ni 10TrillionTsh,sema eneo lenye watu 2M ndani ya united republic of Tanzania lina hio GDP?
2.Je wewe sio Msomi wa Kikristo?πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜ƒ
3.Je unauhakika wewe sio mpumbavu?
4.Congo,D.R.C 90% ni wakataloki,unajua Kwa nini,Wana Mali nyingi kuliko Algeria yenye waislam 90%,ila D.R.C ni masikini mara 1000 ya Algeria?πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†
Ngoja nije zanzibar ni kuwafyatua vinyeo tu mpaka akili ziwakae sawa
 
Mkuuu samia hatuelewi anakotupeleka wana nufaika wachache, rushwa imetamalaki kila kona, ajira zimekuwa ngum, mtu anaongozwa na machawa hana maamuzi. Unaleta u zanzibar tu hapa tunazungumzia swala la kitaifa wewe unaleta ukabila
Sass kama ninyo wenyewe hamuajielewi unategema mtu atoke nje ya nchi aje kukunufaisha?
1.Nyerere msomi wa Kikristo alisaini mktaba na Zanzibar,Mali za Tanganyika ziwe za Zanzibar pia,hau hajui kua SMS inamiliki ardhi Tanganyika?,na inanufaika na madini ya TanganyikaπŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
2.Haujui kua Mkapa Msomi wa Kikristo ndio alieuza migodi kwa 3%,πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒ
3.Je wewe naye ni msomi wa Kikristo?
4.je wewe nae sio mpumbavu?
Baada ya kumsifu Samia,raia wa Zanzibar kuwatawala waumbavu wasiojielewa wewe unasema ndio amekuletea umasikini
 
Back
Top Bottom