THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Well said.Hata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane.Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Asante🙏🤣Hata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane.Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Kwahio Wanafanya Point of Defence Mapema sana!🤣🤣🙏🙏Ni Ile Ile ishu ya supply and demand.mbususu zimekuwa nyingi alafu demand imekuwa ndogo.kwa hiyo mwanamke mwenyewe anajua akileta mambo ya Kusema subiri Hadi tuonane au ukajitambulishe nyumbani anahofu unaweza ukapita hivi ukatafuta mbususu zaa take away(Malaya)
[emoji119][emoji119][emoji119]Hata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane. Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Bro Sio kila penzi lijengwe na Ngono!Lengo la kutongoza ni kuchakata...full stop
Wee nae una kuwa mkweli sana mpaka sasa naanza kukupendaHata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane. Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Ndo tufanye mambo mkuuWee nae una kuwa mkweli sana mpaka sasa naanza kukupenda
Hayo mengine hata rafiki yako mnaweza kujenga....usilete ustaarabu kwenye mapenz utajalia hapa mkuu...watamkaza sana washkajiBro Sio kila penzi lijengwe na Ngono!
Ah kabisa weye na mie tutaendana napenda ur brutal honesty ila sasa ile style pendwa ya warembo wa jf itahusika kwa sana🤣🤣🤣🤣🤣Ndo tufanye mambo mkuu
Kila huduma imerahisishwa kutokana na matumizi ya teknolojia. Hivyo huduma bora kwa mteja ni pamoja na kupata mahtaji kwa haraka na uhakika.Habarini!
Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.
Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?
Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane, siku hizi mbona imekua hivyo ni kizazi au kuna kingine?
Anhaaaa kuchapiwa kupo tu hata kama ukiwa unafanya nae issue kubwa ni anakukubali!Hayo mengine hata rafiki yako mnaweza kujenga....usilete ustaarabu kwenye mapenz utajalia hapa mkuu...watamkaza sana washkaji
Ipi mkuu,ile ya mleta mada wa jana au niliyoikataa kwa vigezo maalumu?Ah kabisa weye na mie tutaendana napenda ur brutal honesty ila sasa ile style pendwa ya warembo wa jf itahusika kwa sana🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna ile ya msomali kafia kwenye fiat hahaha. Ile ya vigezo maalum nayo muhimu sii unajua kuwa mtikisiko muhimuIpi mkuu,ile ya mleta mada wa jana au niliyoikataa kwa vigezo maalumu?
Bas ndo usirembe mkuuAnhaaaa kuchapiwa kupo tu hata kama ukiwa unafanya nae issue kubwa ni anakukubali!
Ha ha haa,u wanna kill me mkuu🙄Kuna ile ya msomali kafia kwenye fiat hahaha. Ile ya vigezo maalum nayo muhimu sii unajua kuwa mtikisiko muhimu
Naelewa hilo lakini sasa nowadays ndo watu walivoweka mindset zao hvo ndo maana limekuwa jambo la kawaidaBro Sio kila penzi lijengwe na Ngono!