Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

Wote wana kiu na hawajiamini

Mwanamme anawaza asipoiforce iingie geto haraka inaweza kushawishiwa mtaa wa pili hapo ikamruka huyu anayetaka kusubirisubiri
Mabinti nao wanaona ni full mtafutano [emoji23][emoji23] yaani madem wamejaa kila kona tena wanaotamanika anahisi akijishaua anaweza kukosa huduma cos huyu anaweza kupata cha haraka mtaa wa pili so anampa ili amteke fasta na apate huduma ambayo anaihitaji pia.

Kwa kifupi ni kwamba kila mtu anakimbizana na hisia zake na time , kumbuka pia zamani sehemu za kufanyia zililimit mengi pia

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unataka tucheleweshane kwani mimi Dada yako? Au wewe kaka yangu?.tushakua wapenzi inabidi tudumishe penzi kwa kufanya mapenzi. Longo longo nyingi kwani sisi ni virgin bana😛.
 
Habarini!

Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.

Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?

Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane, siku hizi mbona imekua hivyo ni kizazi au kuna kingine?
Zinaa mbele mapenzi nyuma[emoji2]
 
Tabia yoyote katika jamii huwa inabadilika kutokana na mabadiliko ya tamaduni...

Sisi kama wanadamu wengine tu, tuna tamaduni tunazokopa toka kwa jamii nyingine za watu na tunajikuta tunaishi nazo...

Kwa nini sasa na sio zamani, jibu jepesi ni sababu ya utandawazi...
 
Zama zinabadilika,
miili nayo inabadilika.

Hiki unachoona ndo evolution of man uliyosoma sekondari.

Miaka ijayo miili nhono itakua basic need.

Yaan italazimu binadamu afanye mapenzi ili endelee kua hai.
je, uko tayar?[emoji4]
 
Back
Top Bottom