Kama kawaida yako straight to the point [emoji3][emoji3]Hata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane. Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Hapana bwana nikuue kivipi bwana wakati sie lengo letu ni kupeana mautamu ya dunia.Ha ha haa,u wanna kill me mkuu🙄
Nakuja inbox, nipo green cityHa ha haa,u wanna kill me mkuu🙄
Ha ha haa,as usual mkuuKama kawaida yako straight to the point [emoji3][emoji3]
AiseeeeHayo mengine hata rafiki yako mnaweza kujenga....usilete ustaarabu kwenye mapenz utajalia hapa mkuu...watamkaza sana washkaji
Yaani chap kwa haraka kuna wengine wanafahamiana asubuhi, mchana wanapeana mamboz ikifika usiku kaugomvi kidogo wanaachana.Hata mkijizungusha mtafanya tu maana ndicho kilichowafanya mpendane. Ni sawa na kusema ngoja nikafikirie kwanza afu unakubali si bora ungekubali siku hiyohiyo.
Shetan Bado hajamaliza kuna ushoga unafuata hapo mana watoto wanazaliwa vichochoroni wanakosa malezi muhimuZinaa imekuw bei rahis kuliko ndoa ..na kwa style hyo wanaume hawataoa ,shetan amekamilisha kazi yake na bado miaka inasonga vizaz vipya vinazaliwa itakuwa kufuru
Zinaa mbele mapenzi nyuma[emoji2]Habarini!
Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.
Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?
Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane, siku hizi mbona imekua hivyo ni kizazi au kuna kingine?