Ni kweli,huwa kuna watu wanakata rufaa sababu kama hiyo na nyingine ya kiufundi mfano kuna mwengine anaandikiwa hajacertify vyeti lakini wakati anaomba ali-certify hivyo anapokata rufaa wakienda kwenye mfumo wanakuta kweli hivyo wanamjumlisha kwenye orodha, issue ya kozi ikikuataa mwanzoni tu,watumie taarifa wataishughulikia