Yani Kama mapenzi ni hatari kwa kizazi hikiNa ndivyo vinavyorun dunia
Kweli, walio wengi kundi lao ni hii sababu.Miaka ya 70 wazazi wetu hawakua na degree, magari, majumba ya kisasa(gharama) lakini walikua wanaishi maisha ya furaha, upendo na kuhurumiana.
Sasa hivi kijana anaweza kua na elimu nzuri, nyumba nzuri, kazi nzuri, usafiri, mke au mume mzuri lakini bado hana furaha, sonono inammaliza yote ni kutoridhika anatamani awe kama fulani, atembee na mke au mume wa fulani, amzidi kipato mtu fulani, awe na gari kama ya fulani.
Furaha zetu siku hizi tunazitafuta kwenye vitu na sio utu.
Stress zilifanya nikapigana ngumi nyingi sana, nikawa natukana hovyo humu JF thank Jah at least nimeanza kubadirika.
Kabisa yaani.... ..Waombe radhi wote uliowakosea kwa namna moja au nyingine
Kweli kabisa.Ukosefu wa ajira, kushindwa kutimiza malengo Kwa wakati hivyo vyote huwaletea stress kubwa
Solution hapo ni be your selfWadau wa JF.
Leo ningependa tujadili kidogo hali ya afya ya akili inayoendelea kuwatafuna vijana wetu mitaani bila jamii kuangazia.
Leo ni hali ya kawaida kukuta kijana teenager anayesoma sekondari au chuo kikuu akilalamika kuwa na msongo mkubwa wa mawazo au kitaalamu inaitwa Sonona (depression). Hali hiyo imepelekea baadhi yao kujizuru hadi kufikia hatua ya kujaribu kujiua.
Swali la kujiuliza: Nini kimepelekea ongezeko kubwa la vijana wadogo kuwa na depression: Je, ni kukosa malezi mazuri?, kushindwa kufikia ndoto na malengo yao? Je, mitandao ya kijamii imesababisha wao kutamani maisha ya kifahari wanayoyaona kwenye 'status' za wenzao? Je, ni hali ngumu za kiuchumi kwenye familia zao? Je, ni changamoto za kimapenzi?
Leo ningetamani nipate maoni yako, nini kinachangia ongezeko kubwa la sonona kwa vijana tofauti na ilivyokuwa miaka 15 na kurudi nyuma iliyopita Karibu tujadiliane pamoja
.View attachment 1488505
Nenda kwa wana saikolojia nahisi hauko sawa hata sasaSir hilo tuliweke pembeni kwanza.
[emoji817][emoji818]Miaka ya 70 wazazi wetu hawakua na degree, magari, majumba ya kisasa(gharama) lakini walikua wanaishi maisha ya furaha, upendo na kuhurumiana.
Sasa hivi kijana anaweza kua na elimu nzuri, nyumba nzuri, kazi nzuri, usafiri, mke au mume mzuri lakini bado hana furaha, sonono inammaliza yote ni kutoridhika anatamani awe kama fulani, atembee na mke au mume wa fulani, amzidi kipato mtu fulani, awe na gari kama ya fulani.
Furaha zetu siku hizi tunazitafuta kwenye vitu na sio utu.
[emoji817][emoji818]We nchi rais anasema atawapiga mpaka shangazi wa wapinzani, na ataamua kumkata yeyote kwenye mbio za ubunge, kulingana na atakavyoamka.
Kwa nini watu wasiwe na stress?
Kama mtu anayewania ubunge anaweza kukatwa kwa rais atakavyoamka siku hiyo, huyu kijana wa mtaani si anaweza kuuawa kabisa?
Watu wanasoma wanahitimu, wanaingia mtaani miaka mitano hawana kazi.
Kwa nini wasiwe na stress?
Nchi hata kucheka tu unaweza kushikwa na Polisi.
Kwa nini watu wasiwe na stress?
Yanii hii thread iko very negative ingawa angejaribu kuiweka vizuri ingefikisha ujumbe ambao ni positiveukosefu wa pesa, kutotimiza goals,kufeli kwny jambo fulani,pia pressure kutoka kwny jamii inayotuzunguka inasababisha streess . mfano soma hii ..
Ukishafikisha miaka 20 na kuendelea na bado unawategemea wazazi kwa asilimia 100, umekwisha