[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaah lolMapenzi is just a subset of ugumu wa maisha!!!
Mtu una mtoto wa mzuri, pesa ya matunzo hauna!! Kesho na kesho kutwa anakukimbia anaenda kwa wanaoweza kuhudumia, au hata kama hajakukimbia, kwake unakuwa second best kwa sababu huna hela!!!
Na kwenye mapenzi bora ukimbiwe moja kwa moja kuliko kuwa second best....
So, msingi hapo sio mapenzi bali mapenzi yanyohitaji huduma ambayo in turn yanahitaji kitu mavumba, sio mtu una elf 20 yako, unaamua uka-bet ili iongezeke kidogo ndipo ukahonge!!!
Juzi nime screenshot tweet ya Fatma Karume, nikaiupdate kwenye status yangu ya whatsApp. Tweet ilikuwa inamkandia jiwe.We nchi rais anasema atawapiga mpaka shangazi wa wapinzani, na ataamua kumkata yeyote kwenye mbio za ubunge, kulingana na atakavyoamka.
Kwa nini watu wasiwe na stress?
Kama mtu anayewania ubunge anaweza kukatwa kwa rais atakavyoamka siku hiyo, huyu kijana wa mtaani si anaweza kuuawa kabisa?
Watu wanasoma wanahitimu, wanaingia mtaani miaka mitano hawana kazi.
Kwa nini wasiwe na stress?
Nchi hata kucheka tu unaweza kushikwa na Polisi.
Kwa nini watu wasiwe na stress?
Wanamuendekeza tu.Juzi nime screenshot tweet ya Fatma Karume, nikaiupdate kwenye status yangu ya whatsApp. Tweet ilikuwa inamkandia jiwe.
Aiseee palepale nimepokea sms kutoka kwa baadhi ndugu na marafiki, wananiambia niifute haraka. Aliyetisha zaidi ni mzee wangu akaniambia "wewe mtoto futa ujinga wako huo haraka kabla hujapata matatizo, hizi sio nyakati za kupost chochote". Ni halali watu kuwa na stress.
Kwahiyo nimepatia... si ndiyo?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaah lol
Kama Mimi Hadi nimezeeka kabisa.....watu wazima wananiambia shkamoo bro na ukicheki mtu amekukata 10yrs
Social media imechangia kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyo fikiria.. Sanasana kuona kama kila MTU anafuraha wakati wewe huna n.kWadau wa JF.
Leo ningependa tujadili kidogo hali ya afya ya akili inayoendelea kuwatafuna vijana wetu mitaani bila jamii kuangazia.
Leo ni hali ya kawaida kukuta kijana teenager anayesoma sekondari au chuo kikuu akilalamika kuwa na msongo mkubwa wa mawazo au kitaalamu inaitwa Sonona (depression). Hali hiyo imepelekea baadhi yao kujizuru hadi kufikia hatua ya kujaribu kujiua.
Swali la kujiuliza: Nini kimepelekea ongezeko kubwa la vijana wadogo kuwa na depression: Je, ni kukosa malezi mazuri?, kushindwa kufikia ndoto na malengo yao? Je, mitandao ya kijamii imesababisha wao kutamani maisha ya kifahari wanayoyaona kwenye 'status' za wenzao? Je, ni hali ngumu za kiuchumi kwenye familia zao? Je, ni changamoto za kimapenzi?
Leo ningetamani nipate maoni yako, nini kinachangia ongezeko kubwa la sonona kwa vijana tofauti na ilivyokuwa miaka 15 na kurudi nyuma iliyopita Karibu tujadiliane pamoja
.View attachment 1488505
Mapenzi, Uchumi, na Maisha mazuri hivi vitu vilitaka kuniua mwaka jana
Asante sana kwa swali zuri. Ila hapo hukuna mbinu zaidi ya kuchukua maamuziU
Umeponaje sasa? Weka wazi mbinu ulizotumia ili uwaokoe na wengine wanaopitia maumivu kama yako
Mapenzi, Uchumi, na Maisha mazuri hivi vitu vilitaka kuniua mwaka jana
Mzee umenipa idea hapa. Huu wimbo utapata kuiskia siku za mbeleni km wewe ni muumini wa rap/hiphop.Wanawaza Vyura tu.. maji ya kuwafuga hao vyura hawana. Mbaya zaidi akili hazijakaa kujiongeza namna ya kupata hayo maji.. ila akili zinawaza zaidi jinsi ya kushuka vyura tu.