Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

kitu ambacho kinanishangaza madem wa chuo wanashika mimba wakiwa mwaka wa tatu tu
yan first n second ni wachache mno
sie tulivofika third yr ukienda lecturer unahisi umekosea umeingia clinic kila dem ana mimba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu, we Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake..lete nitamleaa..usitoe mimba yangu wee
 
sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata
Kwa mwanachuo mwenye akili ukipata mkopo unapomaliza chuo lazima uwe tajiri. Kama huna uwezo wa kubadili maisha yako na boom hata ukiajiriwa wewe bado ni mzigo. Ni maoni yangu hasa kwa waliopata mkopo zaidi ya 50%.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaaa nawe usipende kukojoa peku khaaa, ulimpa shoo Nzuri nae kaona akuletee matunda,hahahaaaa nzi hufia kidondani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwehu isee, Mimi mwenyewe nilimdunga mimba mke wangu tukiwa chuoni mwaka wa tatu wote, na tukaingia mtaani na mimba yetu na sikujilaumu na nilikuwa na ma confidence at 95% level of significant, na demu wangu akajifungua tukawa tuna ishi pamoja kwa kuhangaika na maisha ya dar hivyo hivyo huku tukiamini ipo siku Mungu atafungua njia za maisha mazuri, sasa cha kushangaza iseee, tukaajiriwa wote pamoja tena siku moja, tena taasisi nzuriiii za serikali, na hadi sasa tunasonga mbele kwa raha mustareheeeee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kitu ambacho kinanishangaza madem wa chuo wanashika mimba wakiwa mwaka wa tatu tu
yan first n second ni wachache mno
sie tulivofika third yr ukienda lecturer unahisi umekosea umeingia clinic kila dem ana mimba

Post sent using JamiiForums mobile app
Kama mimiiiiii yaani hivyo hivyo iseee, tumetungana mimba tuko chuoni Mwaka wa tatu wote tukaingia kitaa bila ya kuwa na source of income but at the end of the day tukaajiliwa pamoja one day pamoja, tulifurahi kwa kulia isee, Mungu ni mwema


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe ni muuaji unamwambiaje mwenzako atoe mimba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mungu anawaona wote maana ndio matokeo ya uzinzi hayo, tenaanakuona zaidi wewe muuaji unayetaka atoe mimba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] polee naona bidada kaona achukue chake mapema kwa kushika mimba, maana mapenzi ya chuo bwana mkimaliza na mapenzi yanafika mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata
Ndio uanze kufikiria kama mtu mzima maana ulikimbilia ya watu wazima. Acha kulia lia, wewe tayari ni baba mtarajiwa. Pambana na hali yako.
 
Nilikua nikivaa kondom anakataa anasema eti zinamuumiza, basi kwa vile nilimpenda nikaamua kua namla bila gwanda.
Basi endelea tu kumpenda zaidi maana sasa ana kiumbe chako tumboni. Hiyo ndio tafsiri ya upendo.
 
Mkuu daaaah
 
matatizo wengine huwa mnajitafutia wnyewe.....ulipokuwa unakula tunda la kati ulikuwa ujui impact itakayojitokeza? pole sana baba mtarajiwa.
 
Lea mtoto acha mbwembwe... si ungevaa kondom kama hutaki mtoto

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…