mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Kwa nn hukuvaa ndom?sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn hukuvaa ndom?sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata
HawajielewiHabari wakuu,
Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa mizigo pasipo kutegemea.
Najua kwa mdada wa chuo huwezi kusema mimba imeingia bahati mbaya coz mnajielewa vizuri tu na makarenda yenu, sasa kwanini mnategesha mimba afu mnaanza kutusumbua jamani eh?
Mimi inaniuma sana maana kuna binti amenitegeshea mimba na wakati nipo mwaka wa tatu sijui hata kama nitapata ajira baada ya kumaliza chuo au lah! yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!
Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.