Kwanini siku hizi watu wanakufa mapema kuzidi miaka ya zamani

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.

Hospitali kuwa nyingi

Madawa kuwa mengi

Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.

Life expectancy Kama imeshuka.

Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.

Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84.

Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari, pressure na magonjwa Kama yote.
 
Ni huku Africa. Life expectancy e.g Ulaya imeongezeka. Kuna nchi nyingine 70 yrs wanaona sio old age kwa sasa maana watu wana nguvu. Africa bado maisha duni na kuna hatari nyingi zinapelekea watu kufa mapema

Ila nimeona tuna ulaji mbovu sana
 
Kula chakula kingi inapelekea kuzeeka mapema pia .-metabolism inakuwa busy muda mwingi kukiweka chakula ulichokula vizuri.
 
Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .

Hosptali kuwa nyingi

Madawa kuwa mengi

Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .

Life expectancy Kama imeshuka .

Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.

Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .

Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Idadi ya watu ni kubwa kwa hiyo ni lazima utaona vifo ni vingi.
 
Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .

Hosptali kuwa nyingi

Madawa kuwa mengi

Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .

Life expectancy Kama imeshuka .

Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.

Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .

Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Hapana, life expectancy imeongezeka sana tu.

Ni kutokana na kupungua mno kwa vifo vya watoto. Lakini pia kutokana na maendeleo makubwa katika sekta ya tiba.

Kitu pekee kinachofanya mtu ahisi kama life expectancy imeshuka ni habari.

Habari mbaya husambaa kiurahisi zaidi kuliko habari njema. Na kibaiolojia tunazikumbuka na kuzingatia zaidi kama sehemu ya 'primitive defence'. Primitive defense kali inapelekea pia kuchagua taarifa za kutilia maanani. Dalili yake nyingine ni magonjwa kama presha na sukari ambayo ni dalili na mwitikio wa primitive defense kwa kuzungukwa na wingu la habari za matishio ya uhai. Kiusalama wa uhai itabidi mtu ajiandae kwa presha na sukari. Matokeo yake ni vifo vya mapema kwa waaminio hali hiyo. Mungu atujalie amani. Amani ianze na sisi hadi kwa watu wote.

Ahsanteni karibuni kwa video inayokazia, ili tupone hili kuboreka kwa lifespan usalama tiba etc (nnawatafutia Tedtalk)
Update: hii hapa, statistically speaking kabisa DATA

View: https://youtu.be/yCm9Ng0bbEQ?si=lk-Ef0IXeLkWAPJ8
 
Vyakula tunavyo kula, madawa, na shughuli tunazofanya mfano asilimia kubwa watu wana umri mrefu ni wanaishi sehemu zenye milima na baridi ukilinganisha na walioko tambarare wewe unaye ishi dar ukiamka asubuhi sehemu ya kutembea nusu saa unapanda gar au bajaji lazim mwili uwe tofauti na aliyeko milimani anaye fanya mazoezi kila siku kutokana na mazingira yake au shughuli anazo fanya
 
Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .

Hosptali kuwa nyingi

Madawa kuwa mengi

Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .

Life expectancy Kama imeshuka .

Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.

Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .

Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Hebu tutajie ni mwaka gani nyuma ya miaka hii ya 2020s Tanzania ilikuwa na life expectancy kubwa zaidi?
 
Hapana, life expectancy imeongezeka sana tu.

Ni kutokana na kupungua mno kwa vifo vya watoto. Lakini pia kutokana na maendeleo makubwa katika sekta ya tiba.

Kitu pekee kinachofanya mtu ahisi kama life expectancy imeshuka ni habari.

Habari mbaya husambaa kiurahisi zaidi kuliko habari njema. Na kibaiolojia tunazikumbuka na kuzingatia zaidi kama sehemu ya 'primitive defence'. Primitive defense kali inapelekea pia kuchagua taarifa za kutilia maanani. Dalili yake nyingine ni magonjwa kama presha na sukari ambayo ni dalili na mwitikio wa primitive defense kwa kuzungukwa na wingu la habari za matishio ya uhai. Kiusalama wa uhai itabidi mtu ajiandae kwa presha na sukari. Matokeo yake ni vifo vya mapema kwa waaminio hali hiyo. Mungu atujalie amani. Amani ianze na sisi hadi kwa watu wote.

Ahsanteni karibuni kwa video inayokazia, ili tupone hili kuboreka kwa lifespan usalama tiba etc (nnawatafutia Tedtalk)
Sahihi
 
Back
Top Bottom