Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Ni huku Africa. Life expectancy e.g Ulaya imeongezeka. Kuna nchi nyingine 70 yrs wanaona sio old age kwa sasa maana watu wana nguvu. Africa bado maisha duni na kuna hatari nyingi zinapelekea watu kufa mapema
Ila nimeona tuna ulaji mbovu sana
Idadi ya watu ni kubwa kwa hiyo ni lazima utaona vifo ni vingi.Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .
Hosptali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .
Life expectancy Kama imeshuka .
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .
Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Mamisses wangeishi muda mrefu kwa imani yako.Ulichoandika ni imani badala ya ukweli.Bhojho iwe wagambaki?Kula chakula kingi inapelekea kuzeeka mapema pia .-metabolism inakuwa busy muda mwingi kukiweka chakula ulichokula vizuri.
Mamisses wangeishi muda mrefu kwa imani yako.Ulichoandika ni imani badala ya ukweli.Bhojho iwe wagambaki?
Kweli kabisa.Kula chakula kingi inapelekea kuzeeka mapema pia .-metabolism inakuwa busy muda mwingi kukiweka chakula ulichokula vizuri.
Nashukuru kwa ufafanuzi.Unatakiwa upate ensenene na ebhichori kwa afya.Wakora bhojhoo!ππHapo mkuu sijazungumzia kuishi miaka mingi Ila nimezungumzia kuzeeka mapema pre-mature aging.
Unaweza ukazeeka mapema Ila ukaoshi miaka mingi tu.
Mamiss wapi hao? Walio wenge U Miss ukishaisha wanaendelea na maisha kula kama kawaida.Mamisses wangeishi muda mrefu kwa imani yako.Ulichoandika ni imani badala ya ukweli.Bhojho iwe wagambaki?
Hapana, life expectancy imeongezeka sana tu.Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .
Hosptali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .
Life expectancy Kama imeshuka .
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .
Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Mbona Happiness Magesa ni miss hadi leo mkuu?Mamiss wapi hao? Walio wenge U Miss ukishaisha wanaendelea na maisha kula kama kawaida.
Nashukuru kwa ufafanuzi.Unatakiwa upate ensenene na ebhichori kwa afya.Wakora bhojhoo!ππ
Utavimbiwa sasa.Ensenene -nenenula Muno
Ebichori - mwa nindya akatoke na akanyama.
Hebu tutajie ni mwaka gani nyuma ya miaka hii ya 2020s Tanzania ilikuwa na life expectancy kubwa zaidi?Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .
Hosptali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .
Life expectancy Kama imeshuka .
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .
Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Utavimbiwa sasa.
SahihiHapana, life expectancy imeongezeka sana tu.
Ni kutokana na kupungua mno kwa vifo vya watoto. Lakini pia kutokana na maendeleo makubwa katika sekta ya tiba.
Kitu pekee kinachofanya mtu ahisi kama life expectancy imeshuka ni habari.
Habari mbaya husambaa kiurahisi zaidi kuliko habari njema. Na kibaiolojia tunazikumbuka na kuzingatia zaidi kama sehemu ya 'primitive defence'. Primitive defense kali inapelekea pia kuchagua taarifa za kutilia maanani. Dalili yake nyingine ni magonjwa kama presha na sukari ambayo ni dalili na mwitikio wa primitive defense kwa kuzungukwa na wingu la habari za matishio ya uhai. Kiusalama wa uhai itabidi mtu ajiandae kwa presha na sukari. Matokeo yake ni vifo vya mapema kwa waaminio hali hiyo. Mungu atujalie amani. Amani ianze na sisi hadi kwa watu wote.
Ahsanteni karibuni kwa video inayokazia, ili tupone hili kuboreka kwa lifespan usalama tiba etc (nnawatafutia Tedtalk)