Anakuwaje Hater, na msemaji Ahmed ndio kasema hivyo kuhusu issue ya badiliko la mdhamini.We jamaa ni hater mbaya sana
Yaani wachelewe kutangaza kwa sababu hiyo mkuu?? Sidhani.Biashara hapo inafanyika wakitangaza tarehe 5 usiku tukio la tarehe 6 litafunikwa na jezi zitatafutwa maana demand ni kubwa sana utaona foleni zitakazopangwa kwenye maduka ya vunjabei
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sasa Kama jezi ni hii kwanini tusipewe ulinzi wana msimbazi?Jezi zenu hizi hapa subirini kesho mshangazwe zaidi.View attachment 2315635
Famba hilo, kitambaa chake ni kama jezi ya Yanga ya Ramani ile.Sasa Kama jezi ni hii kwanini tusipewe ulinzi wana msimbazi?
Poleeeee sana.Leta lako jipya mkuu
Hizi kareeeeeeeh, tena iwe na nyeupee km hii.Jezi zenu hizi hapa subirini kesho mshangazwe zaidi.View attachment 2315635
Kumbe wewe sio mwanamke? Samahani mkuu, mimi siku zote najua wewe ni mwanamke kutokana na mipasho ambayo unayoandika humu.Siwezi kuelewa mambo kike unayo niambia
Kumbe ile jezi yenu ya ramani ilikuwa ni famba?😂Lakini tuliposema wakati ule hamkukubali.Famba hilo, kitambaa chake ni kama jezi ya Yanga ya Ramani ile.
SAWAPoleeeee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Vipi habari za kutuvuruga zinaendelea aje huko ?Tutazindua jezi zetu siku ya wananchi, ili tuwavuruge vizuri.