Kwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?

Kwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?

We jamaa ni hater mbaya sana
Anakuwaje Hater, na msemaji Ahmed ndio kasema hivyo kuhusu issue ya badiliko la mdhamini.
Mtazamo wangu: Jezi ikiwa nzuri watauza vizuri kwa namna mashabiki wanavyoisubiri... kibongo bongo unauza jersey vizuri ndani ya wiki ya release mpaka miezi mitatu, tukisogea vizuri klabu bingwa inaongezeka.
Hii biashara bila ujanja unapigwa sana na watu wa piracy.
 
Jezi zenu hizi hapa subirini kesho mshangazwe zaidi.
20220805_230537.jpg
 
Back
Top Bottom