AhaaMimi naona Simba wako sawa Kwa wakati walionao. Kocha kaja mpya kapata bahati ya kupata mashindano yasiyo rasmi kutekeleza mbinu zake sasa afanyeje. Lakini pia ligi iko mbali huenda ikarudi mwezi wa pili naona hana cha kupoteza. Hata Yanga mwisho wa siku watalazimika tu kutafuta mechi za kirafiki ili wajiweke fiti.
Kwa hiyo unataka Simba wawaige utopolo? Ili uje kusema wameiga kwenu?Umeona wanachokifanya wananchi??
Mazuri tuanaiga mzeeKwa hiyo unataka Simba wawaige utopolo? Ili uje kusema wameiga kwenu?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sababu ni hii hapa!Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane......according to Tate Mkuu
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Anajijua.labda akimbie
Wanatafuta wa kuwaacha mkuuuMabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane......according to Tate Mkuu
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Kuna kanuni inawazuia?Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita
Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.
2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.
3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane......according to Tate Mkuu
NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Kwani ukiwa na pesa nyingi pesa kidogo unakua hutaki kuzipata?Lkn mudi billionaire wetu anapesa nyingi
Tunazingua mkuu.....huu ulikuwa ni muda wa kuwaamini vijana